KUNA MECHI HII ,ILA RONALDO anakimbia Sana Sisco,
Taarifa Kutoka Java Lounge ( BOSS JAVA )
SISCO vs CR7( Mnyama )
DAU : 250,000/=( Ipo mezani )
Tajiri aliejipatia umaarufu kutokana na makombe yake ya kitaifa maarufu kama JAVA CUP amejitokeza hadharani na kuweka dau mezani au kitita cha shilingi laki 2 na hamsini kwa pambano la Sisco na Cr7,,
Pia Boss Java ameenda mbali zaidi na kusema aliyaweka mabao kando ila Sisco amemfurahisha na hadi ameamua kurudisha udhamini mezani,,
Kutokana na Hayo yamefanyika mawasiliano na Dogo Sisco na Sisco amesema yeye muda wowote na saa yoyote yupo teyar kupambana na Dilima hata ikiwa kesho asubuh baada ya kupiga na mkulima yeye anachoangalia ni ela na aangalii mtu usoni.
Jitihada za kumtafuta Cr7 ( Mnyama ) zinaendelea na pia tunaomba akiweza kupatikana au menejiment yake ( Jay juve ) wathibitishe hadharani Boss Java ametoa siku 3 za kuthibitisha, baada ya hapo Ngoma ichezwe,,,
Naomba kuwasilisha,,,,,,