DRAFT ONLINE: Sisco vs Mkulima

JAVA LOUNGE STADIUM [emoji2522]
BIG MATCH BIG MATCH BIG MATCH BIG MATCH

NOEL NAMALOE vs CR 7 THE SCIENTIST

Mdhamini; DANY DENYO(MDHAMINI NUMBER 1 TANZANIA)

CAMERA MAN: MKOREA

KAMISAA : CHANDE

MICHEZO : OJ + TEGE 10

KOMBE [emoji471]: 1,000,000(Winner 800,000 loser 200,000)

MATCH UPDATE

NOEL NAMALOE 0 vs CR 7 THE SCIENTIST 3

Michezo Iliyochezwa
CR 7 Vs. NOEL
13.Mabano[emoji3514] 10.Mabano[emoji3514]
3.Meja[emoji3514] 14.Meja[emoji3514]
5.Nugza[emoji3514] 2.Nugza[emoji3514]
9.Passati[emoji3514] 4.Passati[emoji3514]
1.Tege[emoji3514] 12Tege[emoji3514]
11.Tatren[emoji3514] 8.Tatren[emoji460] Cr 7
7.Kavimba[emoji3514] 6.Kavimba[emoji460]Cr 7
OJ IMEISHAAAAA

BREAK DK 15

MFUMO WA TEGE KUMI
Noel. Vs. CR 7
1.Tege[emoji460]cr7. 2.Tege[emoji3514]
3.Tege[emoji3514] 4.Passati[emoji3514]
5.Tege[emoji3514]. 6.Tege[emoji3514]
7.Meja[emoji3514]. 8.Tege[emoji3514]
9.Meja[emoji3514]. 10.Tege[emoji3514]
FULL TIME
FULL TIME
 
ni ya mda kidgo nmeamua niilete umu jamvini..muone ronaldo hajaisha kabisa
 
Tatizo najua tu French laiti ningejua British ningewatesa sana
 
Ronaldo alitoka 1-1 pale sinza mori na mzee mmoja anajiita kibabu, huyo mzee hajui copy, hajawahi cheza mashindano makubwa ya draft, Ronaldo aliliwa elf 70 basi fresh
kuwa na jina kubwa kitaifa siyo kwamba ndiyo unajua sana. kuna bingwa na jina lake kubwa alienda kijiwe cha Chang'ombe Gwasa Dodoma. alipigwa 6-0 na mtu wa kawaida tu.
 
Messi na Ronaldo unafikiri walikuwa wanajua mpira kuliko wachezaji wote duniani?

Ni basi tu 'Dunia' iliwachagua wao
 
Ronaldo alitoka 1-1 pale sinza mori na mzee mmoja anajiita kibabu, huyo mzee hajui copy, hajawahi cheza mashindano makubwa ya draft, Ronaldo aliliwa elf 70 basi fresh
Kwan kaka kujuwa copy nd kujuwa draft?? Draft hesab kaka copy zinakurahisishia kupiga hesabu tu
 
Jumapili Java lounge kitunda,Ronaldo kafa mbili .
[emoji23][emoji23][emoji23] watu walichanga nauli Arusha pale stadium kuja kucheck hili pambano pamoja na la Sisco vs Ronaldo

Tokeo la Sisco kumpiga Ronaldo 2 na hili la mwisho Ronaldo kupigwa limenifanya nimwone Ronaldo wa kawaida ila mbishi ukikaa vibaya utalia
 
Ronaldo alitoka 1-1 pale sinza mori na mzee mmoja anajiita kibabu, huyo mzee hajui copy, hajawahi cheza mashindano makubwa ya draft, Ronaldo aliliwa elf 70 basi fresh
Kuna Mzee pia anaitwa Mzee Rama wa Kilimanjaro, huyo pekee ndio alitoa sare 2 na Msomali

Sasahv Msomali yupo hapo Dar, ila anasubiriwa Arusha fainali Julai hii hii

Ila Mzee anajua sanaa
 
Hakuna kitu kigumu kama kumuona mtu anateka ufalme wako na ww ukiwepo bro…goli alilofungwa cr7 ile ya tege kaanzisha mwenyewe..kaitembeza kidroo kumbe sisco ana goli lake kwenye huo mguu alibaki ameshangaa tuu

later on akarudisha ule mguu tena ili amuone kama dogo atachomoka,,dogo akatoa droo kwa dharau sana..

cr7 asikubali tena game na sisco ivi karibuni dogo yupo njema mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…