Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
- Thread starter
- #41
Yap ,anaongoza kubeba medal zoteKwa hiyo mkuu ndio kusema saizi bingwa wa draft bongo ni Sisco?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap ,anaongoza kubeba medal zoteKwa hiyo mkuu ndio kusema saizi bingwa wa draft bongo ni Sisco?
Anatakiwa azuie Sare katika michezo 24Tuambie muda sisi wadu tutacheki
Ikiwezekana huu uzi uwe ni special kutupia update ya mapambano yote
MDA: Saa 4 usiku leo.ZAWADI: 60K tsh ( Noel azuie sare ngoma 24)UNAPOLIZUNGUMZIA DRAFT UNAMZUNGUMZIA MKULIMA [emoji89].... NAJUA NI KASHFA KWENU KUSHINDWA KUZUIA SARE KATIKA MICHEZO 24 LAKINI SINA NAMNA YA KUWASAIDIA LAZMA NIWAPITISHE KWENYE TANULI LA MOTO ILI MKOMAE [emoji89]Noel ndio anayetakiwa kuzuia?Anatakiwa azuie Sare katika michezo 24
Yani game zote 24 Noel azuie sare?[emoji91][emoji91][emoji91] EXCLUSIVE [emoji91][emoji91][emoji91]
MKULIMA [emoji89] vs NOEL NAMALOWE
.... CONFIRMED ....
MDA:Saa 4 usiku leo.
ZAWADI:60K tsh ( Noel azuie sare ngoma 24)
Raisi wa WATU HURU, Kamanda ISSA @Issa Mwakyoma almaarufu PUTIN ameonekana kutoridhishwa kabisa na matokeo ya game ya DOGO SISCO na MKULIMA[emoji89] akidai kuwa hakukuwa na ulazma wa kijana wake kufungwa.
Kuhusiana na swala la game kuchezwa usiku kwaanzia saa 4... Hii ni KUTOKANA NA MAJUKUMU YA KIMATAIFA ALIYONAYO MKULIMA[emoji89]... MDA huu ndio huwa tulivu kwake hivyo TUNAOMBA RADHI SANA.
UNAPOLIZUNGUMZIA DRAFT UNAMZUNGUMZIA MKULIMA [emoji89].... NAJUA NI KASHFA KWENU KUSHINDWA KUZUIA SARE KATIKA MICHEZO 24 LAKINI SINA NAMNA YA KUWASAIDIA LAZMA NIWAPITISHE KWENYE TANULI LA MOTO ILI MKOMAE [emoji89]
Inaonekana Mkulima ana balaa sio la kitotoSisco anasema Simu iliisha chaji akatumia ya mtu
Matokeo ALIPIGWA 2-0
Akakimbia
Kundi la WATU HURU lenye wachezaji Kama NDULI ,NOEL ,SISCO na mafundi wengine wa Draft TZ
Wanaanda marudiano na MKULIMA
PIA LEO KUTAKUWA NA MTANANGE
WA NOEL BINGWA KUTOKA NJOMBE NA MKULIMA
View attachment 2467722
Sawa Much know...[emoji23]Hakuna mcheza madraft asojulikana..huyo msomali wa Arusha anajulikana vizuri Sana alishawai kua bingwa wa arusha.
Alaf unaonekana mgeni Sana kwenye mabao..msomali ndio huyo huyo.
mkuu izo hame za draft naziangaliaje live ?Tuambie muda sisi wadu tutacheki
Ikiwezekana huu uzi uwe ni special kutupia update ya mapambano yote
Arusha yupo jamaa anaitwa nyoka mzee, ni hatariHuyo Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote
Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika huyo Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft
Njoo nikupe ujuzi upambane na kina siscoWamefungana ngapi ngapi hao matura
mkuu izo hame za draft naziangaliaje live ?
Huyo mkulima ni undisputed player hivyo mabingwa wa draft tanzania hakuna anaweza kumfunga hivyo yeye anakupa sare michezo 24 maana yake katika michezo iyo asipokufunga wewe ni bingwa
Unaweza kuwa fundi sana ila kwa sheria za draft unaweza kupigwa, Mf Kuna sheria ya kuanza wewe kucheza kete tofauti, Kuna sheria ya mpinzani kuanza kucheza kete tofauti, Kuna sheria ya kuzuia kufungwa, Kuna sheria unatakiwa kufunga nk. Wachezaji draft sisi site ila mabingwa ni wachache, Chanika Yuko dogo mmoja akinolewa atakuwa moto sana!Huyo Sisco hawezi kushindikana Tanzania nzima kwasababu hajacheza na wacheza draft wote
Nimeangalia draft na kucheza sana ila kuna Dogo mmoja msomali yupo Arusha sijawahi kuona akifungwa na nina uhakika huyo Sisco hamsogelei. Huyo jamaa nahisi ndio mchawi wa draft
tupeni matokeo ya mkulima vs noel
tuwekee link ya Group la Draft TZ tujiungeNi kwa vile hufatilii madraft
Ila Juzi Sisco ndani ya Siku 2 kachukua mataji mawili yote kala Kama 800k
Ndipo mzee Java akatoa ofa azuie sare kwa MKULIMA
tuliopo kwenye Grupu la Draft Tz tunayajua haya
Wacheza Draft kwasasa wale Wazuri kwa Mwez anaingiza had million 3