Drafti zuri mithili ya "Dalmax Checker" kwa ajili ya computer

Drafti zuri mithili ya "Dalmax Checker" kwa ajili ya computer

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Niaje wadau, Bila shaka humu kuna wanazi wa kutosha wa mchezo wa Drafti. kwa mfano kwenye simu kuna Checkers by dalmax ni nzuri kwa kweli sema haina version ya pc.

Je kuna mwenye kufahamu drafti zuri kwa ajili ya PC!

Uzi tayari!
 
Back
Top Bottom