PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 2,010
Sijui ni out of my being a gentleman ama ni kuchoshwa na uzito wa usingizi ninaoubeba kila siku,
niliketi mahali na huyu msichana next door.Lately nimekuwa nikiamka mara kwa mara katikati ya usiku kutokana
na kelele za huyu mwanadada akilia (cries of pain particularly). Katika kuongea naye kwa upole nikagundua ni
mwanafunzi wa chuo fulani posta na sababu za kulia ni kipigo anachopokea toka kwa boyfriend wake anayeishi naye kwa sasa.
Ni kamuuliza, 'wewe si ulishamwambia wife(wangu) kuwa umekulia kurasini?' sasa kwanini usirudi kwenu kama huyo boyfriend wako (a mere boyfriend)
anaku'abuse'?
Sasa ndipo kisa chake kikaanza;
Alikuwa mjamzito alipokua A level wakakubaliana na boyfriend wake kwamba amalize mitihani ya mwisho then ndo waufanyie ujauzito maamuzi.
Alipomaliza wakaamua kuutoa. Aliumwa sana in the process hadi wazazi wakampeleka hospital na ndipo walipogundua kilichotokea.
Baba yake ana ka cheo fulani katika jeshi la polisi akamlazimisha amtaje mhusika ili achukuliwe hatua binti akagoma kabisa
na baba yake akamfukuza home ndo akaanza kuishi na huyo boyfriend. Toka hapo ndo maisha ya abuse yalipoanza, na akasema
boyfriend wake alimlipia ada ya semester hii na humpa hela ya kujikimu so ni kama anamtegemea kwa sasa.
Mi nikamuomba tumshirikishe dada mwingine wa jirani na ndipo sote watatu tukaamua atoke kwa boyfriend wake na awe anaishi
kwa huyo dada na mimi nasaidia kwa mbali financially. Alivyohama tu, boyfriend wake akaleta mtu mpya!
Backfire of the solution;
One night nimetoka job nimepita kwa mdada wa jirani kuchukua funguo nikaambiwa na house girl haupo
(normaly humaanisha kuna mtu wa kwetu kaniwahi. Nikashangaa kwa sababu ndugu zangu hawapo na wife alisafiri mwezi wa saba kwenda Australia)
Kwenda home namkuta huyu bi shosti katulizana ndani half naked! Nikamuuliza kulikoni?
Akaanza kwa lawama kibao juu yangu kwamba alikua na uwezo mzuri tu wa kuvumilia abuse toka kwa boyfriend wake until
nilipomshawishi ahame. Nikamuuliza is it about ada? No. Chakula? hapana. Basi nikamwambia kama ni kuhusu boyfriend wake
kupata girlfriend mwingine asiwaze akazanie kumake maisha kwanza na kwa jinsi alivyomzuri akimaliza lazima atapata
mwanaume tu!
(I'm so sory to be quoting this); bi shosti akaamua kufunguka,kwamba boyfriend wake alikuwa anamdo kinyume na maumbile na sasa
she feels like getting some na hana wa kumuendea zaidi yangu mimi niliyemcost boyfriend wake..
Dah! sijawahi in my life kukutana na kitu hiki. Nikamuuliza ni kwa nini alianza mchezo huo mchafu?
Ooh, boyfriend wangu aliniambia usiku mmoja kama kweli nampenda tufanye hivyo!
(Umebeba mimba yake, hukumtaja ulipolazimishwa na wazazi, umefukuzwa kwenu
- if that does not show you love him nothing will!)
Nikamwambia kwa kweli mi sina jinsi ya kukusaidia labda kesho tuende hospital tuone kama wana suluhisho kwa hilo.
Akaniuliza what about tonight. Nikamjibu siwezi kuisaliti ndoa yangu na most definatelly siwezi
kufanya huo ushenzi.
Akaatempt kuniblackmail kwa wife, nikamuambia thats is dragging me in your madness; kama ni kusema na aseme kwa sababu ndoa yenyewe ina miezi miwili nikianza kuintroduce lies na infidelity si itanishinda mwaka haujaisha?
Kesho yake asubuhi kwenye skype ikabidi nimwambie wife kila kitu. Akaniambia anajua mahali anaweza mpleleka bi dada
akatibiwe hilo tatizo ila for the mean time niende kwa wazazi wa binti niongee nao ili wamrudishe binti yao nyumbani.
So this weekend nikawa naenda kazini kwa baba yake bila kumuambia huyu dada, ila njiani nikajiuliza maswali kibao ikabidi niahirishe kwanza.
Hebu wadau mnishauri, niwaambie hao wazazi extent ya matatizo ya binti yao? what if wakidhani mi ndo mhusika mwenyewe?
Unawaambiaje wazazi unyama huo aliofanyiwa binti yao?
Please help manake wife analazimisha mi kichwa cha nyumba lazima niende kuwaface hao wazazi na hataki huyo binti aendelee kukaa hapo karibu. Sasa baba yake polisi akinishuku si atanisogeza hapohapo mahabusu ndo taratibu nyingine zifuate?