Dragon fruits mdogomdogo inaanza ingia sokoni

Mayai ya kware yanautofauti gani na mayai ya kuku. Nyama ya kwareninatifauti gani na nyama ya kuku?
1. Nilikuwa nyama ya kware miaka 20 iliyopita. Ni tamu sana. Nikiambiwa nichague kati ya nyama ya kuku na ya kware, nitachagua ya kware

2. Chungwa, limao, chenza, yote ni matunda Jamii ya citrus. Lakini chungwa si chenza na chenza si limao. Na kwa virutubisho, ingawa yote Yana utajiri wa vitamini C, chenza lina utajiri mkubwa zaidi wa hizo vitami kuzidi chungwa.

Inawezekana na nyama ya kware ikawa na kiwango kikubwa cha virutubisho kuzidi nyama ya kuku.
 
Nilikuwa nishakupandisha kiwango kukuona bonge la smart man unafunga kware unakula mayai ya kware ..huo' mkono wa mwarabu cjui Mzungu ndio nikajua kumbe umetoa mtandaoni 😄
Muhimu ujumbe ufike.

Hata kama hafugi, bado amesaidia pakubwa kwa kuweka hiyo picha.
 
usilogwe ukaingia kwenye bishara isiyo na watumiaji wengi utachakaa kwa kupoteza muda na fedha
kwa nini umshawishi mtu kuingia kwenye bishara inayozalisha bidha isio na wahitaji wengi
nitakua wa mwisho pengine nisifuge kabisa hao kware na sungura
 
Kama haifai kula PITAYA (dragon fruits) kwa kuwa ni matunda ya kigeni, na hata hayo mengine nayo hayafai. Yote ni ya kigeni
Singida tu hapo tumekula sana tu.
Hununui unaenda unachuma unatambaa nayo,ni matunda pori hamna anayekuuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…