Drake ameachana na mpenzi wake Sophie na kuishia na mpenzi wake wa kiume

Drake ameachana na mpenzi wake Sophie na kuishia na mpenzi wake wa kiume

Nafahamu sio shoga Ila aliwadis hadharani, nakumbuka hata kwenye zile tuzo alipotakiwa kuimba wimbo wa Stan na Elton John alitusi kwanza ndio wakaimba

Stan aliimba kwa kushirikiana na shoga maarufu Elton John
 
Zama za habari zimepita(age information) ,Sasa tuko zama za ushoga kipindi hiki watu wenye familia tuwe makinisana na wanetu ,akina mama punguzeni umbea mdili na familia na akina baba tupunguze kuwa mbali na wanetu tupunguze visingizio vya ubusy na majukumu.....hali mbaya
 
Stan aliimba kwa kushirikiana na shoga maarufu Elton John
Wimbo wenyewe alimshirikisha Dido, Sasa sijajua kwanini Ile performance hakuwa na Dido matokeo yake akaja Elton John
 
Kumbe jamaa ni mchicha mwiba lizuga na ndoa kumbe hamna kitu ni shoga baridi sasa yamemshinda ameamua kubwaga akaolewe kabisa

USSR View attachment 2588550View attachment 2588551

Sent using Jamii Forums mobile app
Drake is close friends with Adele.[611] He dated SZA between 2008 and 2009,[612] and was in an on-again, off-again relationship with Rihanna from 2009 to 2016.[613] He has mentioned the relationship in every one of his studio albums,[614] and when presenting Rihanna with the Michael Jackson Video Vanguard Award in 2016, he said "she's a woman I've been in love with since I was 22 years old."[615] On his relationship with her, he said on the talk show The Shop:

As life takes shape and teaches you your own lessons, I end up in this situation where I don't have the fairy tale [of] 'Drake started a family with Rihanna, [it's] so perfect.' It looks so good on paper [and] I wanted it too at one time.[616]
Drake is a father to one son who was born on October 11, 2017, to French painter and former model Sophie Brussaux. Brussaux's pregnancy was the subject of several rumours after featuring in a TMZ article in early 2017.[620] After the nature of the pair's relationship was discussed in Pusha T's "The Story of Adidon", Drake confirmed his fatherhood on the album Scorpion in 2018, citing a desire for his child's privacy.


 
Back
Top Bottom