Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Uchawi ungekua unawatoa kimziki basi waganga wote wangekua washafanya collabo hadi na migosBongo uchawi Mwingi.
Hawa kina dimond hawana LOLOTE zaidi ya kuibia watu nyota na mvuto
na bahati mbaya wametoswa na kutemwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using unknown device