Drake anaongoza kwenye beef yake na Kendrick

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Kwa wale wapenzi wa Hiph-hop wote masikio yetu yameelekezwa kwenye bifu ya Drake na Kendrick. Mpaka sasa kila mmoja ameshatoa ngoma si chini ya 4 na mchuano ukionekana kuwa bado ni mkali.

XXL Magazines wameweka Poll kati ya Drake na Kendrick Lamar, nani kuibuka mshindi?

Mpaka sasa Drake anaongoza kwa ujumla, kwa ngoma walizotoa ni drow 2-2

 
Enzi za ujana wangu nikiwa O - level nilikuwa nafuatilia sana habari za kipumbavu kama hii ya Kendrik na Drake.
 
Drake yeye kila mtu ana bef nae watamuua hakawii kufa kwa risasi hao jamaa akili zao wanazijua wenyewe

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hua namkubali Kendrick ila Drake ni Habari nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…