errymars
Member
- Dec 17, 2019
- 98
- 285
Drake Ataweza kufanya kwenye Kombe la Dunia alichokifaya Kendrick Lamar SuperBowl? - Fntaz
Kwa sasa kuna Mjadala Duniani unaoendelea kuhusu uwezekano wa Rapa raia wa Canada Drake kutumbuiza kwenye Kombe la Dunia mwakani 2026. Mjadala huo unahusu je, Kwa performance aliyoifanya Kendrick Lamar kwenye Super Bowl LIX mwezi Februari kule New Orleans, Drake ataweza kufikia viwango hivyo...
fntaz.com