Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona huyu Nicki Minaj kazidi kumpa ujiko ex wake Drake
unampigaje mtu kibuti kati kati ya beef kama hili...dah
Kwani Drake na Nicki wamewahi kuwa wapenzi, sio kwamba alikuwa anamega kisela tu? By the way Meek hana hadhi ya kutoka na yule mtoto