Drake vs Meek Mill: Disgusting beef in the history of Rap

Naona huyu Nicki Minaj kazidi kumpa ujiko ex wake Drake
unampigaje mtu kibuti kati kati ya beef kama hili...dah
 
Nataman Tupac aje awafundishe jinsi yakuandika BEEF songs
Hahahahaa waskize Hit Em Up wataelewa how to Diss.
 
Naona huyu Nicki Minaj kazidi kumpa ujiko ex wake Drake
unampigaje mtu kibuti kati kati ya beef kama hili...dah

Kwani Drake na Nicki wamewahi kuwa wapenzi, sio kwamba alikuwa anamega kisela tu? By the way Meek hana hadhi ya kutoka na yule mtoto
 
Kwani Drake na Nicki wamewahi kuwa wapenzi, sio kwamba alikuwa anamega kisela tu? By the way Meek hana hadhi ya kutoka na yule mtoto

Hata kama hana hadh ndio anatifua udongo sasa wa Nick...tena hadharani sio kificho kama alivyokuwa Drake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…