Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu


Kuna kitu katika accounts kinaitwa separate entity concept. Hiyo ukishindwa kuiaply katika maisha ya kawaida basi lazima ufeli
 
mzurimie umeona povu la Esma insta? Na mama yake kapost sasa hivi anasema uzalendo kwanza, kaweka picha ya Wema . .. Kuolewa familia zingine ni majanga kwa kweli
Post ya Mama yake Diamond Platnumz Kuhusu Wema Sepetu


Jana Jumapili Mama mzazi wa msanii wa Bongofleva Diamond Platnumz amempost Wema Sepetu ambaye alikuwa ni girlfriend wa zamani wa Diamond Platnumz kwenye page yake ya Instagram na Kuandika yafuatayo:


kendrah_michael
Uzalendo kwanza..umependeza sanaa mamy akee


Baada ya mama Diamond kupost alifuatia Romy Jons ambaye ni kaka yake na Diamond Platnumz, hiyo inaonesha kuwa upande wa Diamond Platnumz na Wema Sepetu hakuna tatizo kama ambavyo baadhi ya watu walikuwa wanaweza kuhisi.

Picha aliyopost Rommy Jons
 
Watu wanapenda sana kukuza mambo utakuta hakuna hata baya linaondelea kwenye familia ila wanadamu na majungu hatujambo.

Hayatuhusu
 
Jamani mbona huyo esma anaonekana ni mdada mstaarabu
 
Majay alisha mwacha Mabeto sasa yuko na Lulu.
 
Hahhaha ogende omtele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…