ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
YA NGONSWE MWACHIE NGONSWE MWENYEWE hahahaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umeingia instagram kuanzia jana utakuwa umeona kivumbi kinachotimka kwenye familia ya Diamond Platinumz.
Picha halisi ya kinachoendelea ilionekana kwenye birthday party ya mama yake Diamond.
Imedhiilika kwamba Diamond anachepuka na mzazi mwenzie na Majay yani bi dada Hamisa Mobeto na kuwadi ni dada yake Diamond aitwae Esma. Wataalam wa udaku wanasema kisa haswa cha Esma kumkuwadia Hamisa kwa Diamond ni bifu lilipo kati yao Zari na Esma, pia mama Diamond ameshamchoka Zari anataka atafute demu mwingine. Kwa hiyo wanafanya kila mbinu wawatenganishe.
Vituko vilivyotokea ni pamoja na mbeba keki alikuwa ni Hamisa Mobeto ambae sio part ya familia(maswali yakawa yupo mbele mbele kama nani)... Kingine ni mama Diamond kumlisha Zari keki kwa mkono wa kushoto.. Na funga kazi ni taarab alizopigiwa ni playlist iliyoandaliwa kumpiga vijembe Zari.. Kilichoendelea ni Zari kukosa furaha waziwazi akawa km kavamia sherehe maana ni kama walikuwa wanampotezea akabaki kuangaika na Diamond wake.
Hivi vituko havijaanza juzi ni muda mrefu walianza na kumpelekea D video queen wa video ya Kwetu na mama na dada wakakomaa azamie mazima lakini ishu ikafika media mipango ikafia hapo. Lakini inaonekana hawajachoka.
Sababu yao kubwa wanasema Zari anadharau. Japo wataalam wa mambo wananena kuwa tatizo ni Chibu kuzidishia mahaba kwa Zari na kupunguza nyumbani kwa mama.
All in all hizi drama sio mpya kwenye familia zetu za kiswahili. Ndoa nyingi na uchumba umevunjwa na ndugu haswa mawifi na wakwe, wengi utamani wawe na nafasi kubwa kwenye moyo wa kijana wa kiume. Ikiwa kinyume cha hapo zitakuwa story kaka anapelekeshwa, wifi anaringa, mkwe anadharau. Diamond inabidi asimame imara kama mtoto wa kiume kuakikisha familia yake inasimama sababu kaleta muunganiko wa watu wenye different background lazima migongano iwepo.
Adios!
Post ya Mama yake Diamond Platnumz Kuhusu Wema Sepetumzurimie umeona povu la Esma insta? Na mama yake kapost sasa hivi anasema uzalendo kwanza, kaweka picha ya Wema . .. Kuolewa familia zingine ni majanga kwa kweli


Bonge la ujumbe, tatizo wanao msakama hawaijui lugha ya malkia, mama anajidai MZALENDO so alitegemea kupashwa na songi la hadija kopa. Zari kweli kakomaa kimahusiano au kafundwa akafundika.Neno neno la Zari tamujeeeeeee, Ugandan lady oyeeee kwa kujielewa.
View attachment 365004
Majay alisha mwacha Mabeto sasa yuko na Lulu.Jamaa anafaidi kweli kweli watoto wazuri....sasa kwa hiyo kishamkula Hamisa au bado bado kwanza alafu sasa majey ndio mmiliki kule EFM asije kumbania nyimbo zake bure zisipingwe kama yule Muhaya wa mjengoni
Wanaume wa Dar tunafaidi kweli kweli aiseeee
Hahhaha ogende omtele..Umeongea vizuri.lakini hiyo elimu wame wameelimika kuwa na elimu tu si tatizo.nina wifi yangu anaelimu nzuri lakini mambo anayoyafanya...mpka mdogo wake anasema "dada yangu elimu haijamsaidia".nashukuru mungu I live miles and miles away from them hawawezi fika hata kusalimia.maanake nisingeweza kabisa.
Namuonea sana huruma Diamond hakika!Kuolewa kwenye familia za kiswazi ni shughuli pevu
Wanaume wa Dar katika ubora wao. wa mkoani tunatoka Shamba muda huu. Wenzenu wanaingiza nyie mnappteza muda. Mtoa mada jinsia gani tafadhali..!Kazi ipo
Nigawie mavuno ya shambaniWanaume wa Dar katika ubora wao. wa mkoani tunatoka Shamba muda huu. Wenzenu wanaingiza nyie mnappteza muda. Mtoa mada jinsia gani tafadhali..!