Chibu anamnunulia suruali mamake ....! na kumtengeneza nywele mpaka mama kawa 'msichana' ! Kazi anayo !Mama'ake mond ana matatizo kazi kweli kweli
Uzungu wa zari, unawapwelepweta akina ESMA, ...ngachoka pale esma anavyoimitatate kijisauti cha zari ( esp. akiwa anamsemesha tiffah zile like "show momy ") eti na yeye anamwita mwanae kwa hicho kijisauti + kiinglish..yani nilbaki kucheka...ESMA mshamba sana..
Nani alikuficha akanana?Nigawie mavuno ya shambani
HahahahahaChibu anamnunulia suruali mamake ....! na kumtengeneza nywele mpaka mama kawa 'msichana' ! Kazi anayo !
Nipo napatikana hujanitafuta tuuNani alikuficha akanana?
Bonge la ujumbe, tatizo wanao msakama hawaijui lugha ya malkia, mama anajidai MZALENDO so alitegemea kupashwa na songi la hadija kopa. Zari kweli kakomaa kimahusiano au kafundwa akafundika.
wapumbavu wote !!MTU km zari Mwenye watoto watano upumbavu anaoufanya na kuna mijitu eti inamfagilia yaaani mi nasema km ule ndo umaarufu'naomba niendelee kua mchimba chumvi'jtu Lina mitoto minne bado linajidhalilisha vile mxxxxxiuuuuu!!
Mungu nusuru kizazi changu!!
Hilo nalo la muhimu sana mama apate baba na esma nae apate mme akaishi kwa mme wake hapo itakua afadhaliHahahahHah
Cc Evelyn Salt
Huyo Mama ni jipu kweli Diamond anayo kazi kubwa hata angekuwa Wema au nani ni lazima maneno yangekuwepo...! Namuonea sana huruma Diamond maana watamkosesha sana raha hawa nduguze na wazazi!Hilo nalo la muhimu sana mama apate baba na esma nae apate mme akaishi kwa mme wake hapo itakua afadhali
Hivi huyo Zari ni mke au hawara wa Nasibu?
Anatakiwa amshukuru sana zari, esma alikua mchafu chafu anapost picha miguu ina vumbi anavaa lonya, sahivi nae kawa msafi anajua na kupaka make up amshukuru sana zari kuna ile picha alienda kupima ngoma akaitupia vidole vyangu miguu vipo kama tangawizi kucha chafu leo hata rangi anapaka teh teh ooohUzungu wa zari, unawapwelepweta akina ESMA, ...ngachoka pale esma anavyoimitatate kijisauti cha zari ( esp. akiwa anamsemesha tiffah zile like "show momy ") eti na yeye anamwita mwanae kwa hicho kijisauti + kiinglish..yani nilbaki kucheka...ESMA mshamba sana..
uhawara sio lazima upendwe kwani kaolewa?
Tunapunguza stress, siku inaenda, na tunaongeza siku za kuishi.... We ulivochangia umejisikiaje?Haya wachangiaji mnapata faida gani?
Diamond yupo katikati hapa mama, hapa mke, hapa dada lazma mahali paharibike hawezi kubalance mapenzi ya hivoHuyo Mama ni jipu kweli Diamond anayo kazi kubwa hata angekuwa Wema au nani ni lazima maneno yangekuwepo...! Namuonea sana huruma Diamond maana watamkosesha sana raha hawa nduguze na wazazi!
Mmmh ...Nipo napatikana hujanitafuta tuu