Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

Nimeangalia ile video ya bafuni na domo yule Dada hajielewi sasa hapo familia itakupendaje MTU mzima hujiheshimu, ukute huyu hata mbele ya mkwewe anayafanya hayo ndo mana wanachukia Hana aibu kabisa

Harafu Diamond bado mdogo huyo zari alitakiwa kumuongoza katika njia bora ...hapo naona hakuna hata wa kumshauli mwenzie

zari yeye naona anataka jina lisipotee hajui kama anawadhalilisha watoto wake ..na watoto wenyewe wana account Instagram
 
Zari ni kiboko yao, wanaweweseka haswaaaa...walipo nae kachangia wakafika wanajisahau wanataka nao wawe level moja na anayempasha joto mwanae/mdogo...hawajui kuna mipaka sasa wataitambua...waache waachane wao kama imepangwa iwe hivyo.

Ila nahamu Zari arushe maneno yake masaa yoteeeee....ndio raha ya kutoka na mwanamke ambaye ameshaonja mahusiano na hata maisha ya kindoa...angekuwa na akina .com mbona tungeona .com kashabeba mwanaume mwingine kuringishia hao wadaku....
Ni aibu sana kwa mama mtu mzima kuingilia mahusiano ya uzinzi wa mwanao na kushabikia azini na yupi ambae wewe unamkubali, ingekuwa bora kama angemshauri Dai atafute mke wa ndoa kama ni zari wafunge ndoa na mama atulie kwake.

Go Zari, Go Zari....
 
Duuuh! Kaazi kweli kweli,
Huenda wangefunga ndoa ya halali yasingetokea yote hayo.
 
Harafu Diamond bado mdogo huyo zari alitakiwa kumuongoza katika njia bora ...hapo naona hakuna hata wa kumshauli mwenzie

zari yeye naona anataka jina lisipotee hajui kama anawadhalilisha watoto wake ..na watoto wenyewe wana account Instagram
Zari anafanya vile et kisa anawakomoa kina wema na mobeto kumbe maskin anajidhalilisha mwenyewe na kujipunguzia CV
 
Mama Daimond naona bado hupo gizani haamini amini kama mwanae ameshakuwa star! Esma nae haamini amini kama Diamond kasha kuwa star! Qeendarling anajielewa sana kwasababu alishakuwa star na ni star toka kitambo kabla ya Mond anaelewa vitu hivyo na Halima kimwana naona anajielewa

Tatizo ni mama ukweli unauma lakini Mama Mondi ni Lazima Ajitambue yeye katika nafasi yake na Kutambua nafasi na mtoto wake! Esma nae inabidi ajitazame upya na ajiangalie tena huu uswahili hawa watu wawili wanaeza poteza dhamani yao katika Jamii

Mama Diamond akiendelea na Uswahili huo itafika mda watu watamchoka na watasahau wapi aliko mtoa Diamond! Hata kama kahangaika vipi na Diamond hayo ni majuku yake kama Mama kama asinge hangaika yeye mwenye Mtoto Alitegemea nani ahangaike kwa niaba yake! Hakuna so Asitumie kigezo cha kutoka na Diamond kwenye Dhiki kufanya vitu vya kitoto ni wakati wa yeye kutulia na kuletewa kila kitu na kula matunda ya Mtoto Wake! Kujengewa nyumba kubwa,kuwa na gari zuri na kuishi vizuri! Bila kuingilia Mahusiano ya Mwanae! Ila wakisema waforce mambo Duuu wataaibika vibayaaaa!
 
Si kwa mgazeti huo wa maana halafu nikunyime [emoji106]
 
Katika maisha hata upate hela vipi; ndugu ni wa kuwajengea au kuwasaidia kutoka mbali. Ukishakuwa na mke au mwenza ni vema ukajifunza kuwaweka mbali na familia. Wawe ni wageni tu wa kuja kusalimia but usilete biashara za kuwaweka ndugu na mkeo under the same roof. Ikiwa wewe na mkeo pamoja na kupendana ila kuna siku mnatofautiana kidogo sembuse ndugu asiyekuwa na intimate connection na mkeo?

Na hapo hatujaongelea aina ya ndugu kwa kuzingatia elimu, exposure na tabia ya wao kujitegemea.

Big Point mkuu
 
diamond na mama tifa wamezidi ulimbukeni
jana wametupostia mavideo ya kijinga/ watakua lini hawa?

tabia hii diamond akiendelea nayo tunamchoka soon
watu tunataka kazi
mambo ya mapenzi mapenzi na zari wake social media hatutaki tumechoka...

na hilo zari tumemchoka sana kwakweli ,anajiskia mnooo
kujiona mrs superstar

Huu ndio uswahili wenyewe...mapenzi ya kwao,...simu za kwao.....account za kwao...wakipost vya kwao....wewe unaona kuwa wanajisikia...hahahahahah

halafu mkuu...wewe ni nani kumchoka mke wa mtu.....
 
Wapi hapo ulipokwoti nimemuongelea huyo hamiswaaa??? Hiyo ndio umeiona leo??? Ilishazunguka tanguuuu... Unafikiri sijui drama laoooo au hata nini...mie nipo busy na hao washampepe wasionashukurani ustaaa wa D wanajisahau...mama mtu na dadake. Nasema tena Zari kiboko yao... Waliraka kumrusha roho atimke wameshushukaaaaaaaaa aibu
yo good....yo run em mad
 
Kwa mujibu wa imani yao ya kiislamu hao bado ni mahawara.

labda kama wana mahakama za kiislamu ila wakienda kwa hiz sheri zetu zar kawashinda yule ni mke halali kwa sasa mahakama za kidini hazijapewa nguvu kwa hiyo watakuwa wanapaka upepo rangi.
 
Maneno ya Esma dadake D, ambaye yeye nae kazaa na wanaume wawili na ndoa hakuiweza akaachika.

from @_esmaplatnumz - sichagui sibagui kwani atakaye niokota njiani simjui nisiongee na watu au nisiwe karibu na mtu kisa ninandugu star atampitia bac tutakuwa hatuongei na watu au kuwa karibu na watu kisa kuogopa kuwaudhi watu or kuchambwa mainsta sababu ya kutuchamba sijaona km wanakulana ni umalaya wao sijaona sababu ya matusi or kumchamba mama wa watu tukae chini na tuone nani mwenye makosa sio kuchamba watu wasio kuwa na hatia tumekuwa tunachambwa kila siku kutokana ya kukingiana kifua now inatosha sasa...!!! hamna mtoto mdogo anayeambiwa weee chukua huyu or anafunuliwa mapaja aweke naah... embu acheni upumbavu acheni kujivika ngozi zisizo zenu khaaa...!!! hamissa rafiki yangu kitambo na sitaweza kuacha kuwa na mtu kisa mtu anasema oooh uzushi wenu na km wanatoka ni umalaya wao wenyewe kwani hawajui km wanakosea au hawajui km wanawatu wao tumechoka na hayo mambo sasa wakosee wengine tutukanwe sisi kisa makosa wafanye wenyewe tuonekane sie wabaya waende. post ya mwisho na kuanzia leo staki mtu anipangie cha kufanya wala nini nampost mtu yoyote naye jisikia km noma iwe noma bwana. sichagui sibagui atakayenizika simjui. naishi nitakavyo siishi mnavyotaka nyinyi insta sijamfungulia mtu wala sijazaliwa kwa kumuabudu mtu nafanyaga shughuli zangu hawa hawa ndio wanaonisapoti so jamani mnampenda mtu mpendeni mnamchukia niunfollow bora uwe na watu wawili kuliko watu mia wasiokuwa na maaana. sasa bac njoo na matusi yako nikupe block kachambieni hukoooooo #
Kwa maneno haya hapa mtu kaliwa.
 
katika familia siku zote ili familia iwe stable na yenye mshikamano inaanza kwanza ELIMU then after ELIMU ndio inakuja WEALTH .....na WEALTH iliyotokana na ELIMU utaipenda hakuna misuguano, drama wala vurugumechi mfano ukute familia wote ni madaktari au familia kila mtu ana kazi yake ya maana hiyo familia utaipenda sasa ukute familia ELIMU ni 0 halafu akaja mmoja akatoboa KIMUNGUMUNGU hivyo hivyo bila ya kuwa na ELIMU kichwani... na awe na ndugu zake sasa ni PATASHIKA nguo kuchanika... mbaya zaidi ukute hiyo familia inatoka hii mikoa ya karibia na BAHARI hii... ni shida aisee... kama mali ni za mwanaume akina dada watataka SHOGA yao ndio aolewe na kaka yao ... wanataka wao ndio wafaidi mali za kaka zao hata kama kaka yao ataoa wataona wifi yao anafaidi.. yaani ni shida DIAMOND alichokosea pale ni kuifanya ile nyumba ni Big brother

halafu akawa ana zari ambaye kakulia uzunguni na kina sijui nani nani watoto wa tandale mixer kinondoni ni shida
Maneno kuntu haya....
 
Anatakiwa amshukuru sana zari, esma alikua mchafu chafu anapost picha miguu ina vumbi anavaa lonya, sahivi nae kawa msafi anajua na kupaka make up amshukuru sana zari kuna ile picha alienda kupima ngoma akaitupia vidole vyangu miguu vipo kama tangawizi kucha chafu leo hata rangi anapaka teh teh oooh

hahahahahaaaaa you have made my day!!! eti vidole vya miguu kama tangawizi..hahahahahaaa
 
Anatakiwa amshukuru sana zari, esma alikua mchafu chafu anapost picha miguu ina vumbi anavaa lonya, sahivi nae kawa msafi anajua na kupaka make up amshukuru sana zari kuna ile picha alienda kupima ngoma akaitupia vidole vyangu miguu vipo kama tangawizi kucha chafu leo hata rangi anapaka teh teh oooh

Kabisaaaaaa

Anasahu alipotoka eeeehhhh

Leo karusha snapchat na mumewe kitandani na mtoto wao...eeeeh ndio maana jana videos mwanae mkubwa alikuw home kwa mjomba na akina D....kanyooka karudi kitandani na mumewe petito....
 
Arudiane na mme wake atapunguza kiherehere kwenye mapenzi ya kaka ake
 
Back
Top Bottom