Drama mpya ya familia ya Diamond Platinumz.. Reflection ya family zetu

Nimeangalia ile video ya bafuni na domo yule Dada hajielewi sasa hapo familia itakupendaje MTU mzima hujiheshimu, ukute huyu hata mbele ya mkwewe anayafanya hayo ndo mana wanachukia Hana aibu kabisa

Harafu Diamond bado mdogo huyo zari alitakiwa kumuongoza katika njia bora ...hapo naona hakuna hata wa kumshauli mwenzie

zari yeye naona anataka jina lisipotee hajui kama anawadhalilisha watoto wake ..na watoto wenyewe wana account Instagram
 
 
Duuuh! Kaazi kweli kweli,
Huenda wangefunga ndoa ya halali yasingetokea yote hayo.
 
Harafu Diamond bado mdogo huyo zari alitakiwa kumuongoza katika njia bora ...hapo naona hakuna hata wa kumshauli mwenzie

zari yeye naona anataka jina lisipotee hajui kama anawadhalilisha watoto wake ..na watoto wenyewe wana account Instagram
Zari anafanya vile et kisa anawakomoa kina wema na mobeto kumbe maskin anajidhalilisha mwenyewe na kujipunguzia CV
 
Mama Daimond naona bado hupo gizani haamini amini kama mwanae ameshakuwa star! Esma nae haamini amini kama Diamond kasha kuwa star! Qeendarling anajielewa sana kwasababu alishakuwa star na ni star toka kitambo kabla ya Mond anaelewa vitu hivyo na Halima kimwana naona anajielewa

Tatizo ni mama ukweli unauma lakini Mama Mondi ni Lazima Ajitambue yeye katika nafasi yake na Kutambua nafasi na mtoto wake! Esma nae inabidi ajitazame upya na ajiangalie tena huu uswahili hawa watu wawili wanaeza poteza dhamani yao katika Jamii

Mama Diamond akiendelea na Uswahili huo itafika mda watu watamchoka na watasahau wapi aliko mtoa Diamond! Hata kama kahangaika vipi na Diamond hayo ni majuku yake kama Mama kama asinge hangaika yeye mwenye Mtoto Alitegemea nani ahangaike kwa niaba yake! Hakuna so Asitumie kigezo cha kutoka na Diamond kwenye Dhiki kufanya vitu vya kitoto ni wakati wa yeye kutulia na kuletewa kila kitu na kula matunda ya Mtoto Wake! Kujengewa nyumba kubwa,kuwa na gari zuri na kuishi vizuri! Bila kuingilia Mahusiano ya Mwanae! Ila wakisema waforce mambo Duuu wataaibika vibayaaaa!
 
Si kwa mgazeti huo wa maana halafu nikunyime [emoji106]
 

Big Point mkuu
 

Huu ndio uswahili wenyewe...mapenzi ya kwao,...simu za kwao.....account za kwao...wakipost vya kwao....wewe unaona kuwa wanajisikia...hahahahahah

halafu mkuu...wewe ni nani kumchoka mke wa mtu.....
 
yo good....yo run em mad
 
Kwa mujibu wa imani yao ya kiislamu hao bado ni mahawara.


labda kama wana mahakama za kiislamu ila wakienda kwa hiz sheri zetu zar kawashinda yule ni mke halali kwa sasa mahakama za kidini hazijapewa nguvu kwa hiyo watakuwa wanapaka upepo rangi.
 
Kwa maneno haya hapa mtu kaliwa.
 
Maneno kuntu haya....
 

hahahahahaaaaa you have made my day!!! eti vidole vya miguu kama tangawizi..hahahahahaaa
 

Kabisaaaaaa

Anasahu alipotoka eeeehhhh

Leo karusha snapchat na mumewe kitandani na mtoto wao...eeeeh ndio maana jana videos mwanae mkubwa alikuw home kwa mjomba na akina D....kanyooka karudi kitandani na mumewe petito....
 
Kabisaaaaaa

Anasahu alipotoka eeeehhhh

Leo karusha snapchat na mumewe kitandani na mtoto wao...eeeeh ndio maana jana videos mwanae mkubwa alikuw home kwa mjomba na akina D....kanyooka karudi kitandani na mumewe petito....
Arudiane na mme wake atapunguza kiherehere kwenye mapenzi ya kaka ake
 
Arudiane na mme wake atapunguza kiherehere kwenye mapenzi ya kaka ake

Yaani kabida inamfaa hiyo, maana na Petit inaelekea kajitambua na kuacha kubeba zile pochi...hakusapoti kabisa black tie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…