Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
FREEMAN AIKAEL MBOWE
(Borntown)
Ana huruma kiasi,anasikiliza shida za wanachama wake,ila hapendi mtu mwerevu kupita kiasi,yaani usivuke mipaka.mtaji wake ni wanachama Waandamizi yaani aliowasaidia shida mbalimbali hawa anaamini watamvusha na wao wamemuhakikishia hilo
Anajisikia vibaya kuiacha CHADEMA mikononi mwa mtu ambaye hakuwa akilini mwake,kuna watu ambao alipanga kabisa kuwa atawapa kijiti ila siyo sasa hivi.na si aina ya mtu huyu
Kwake CHADEMA ni kinga inayompa nguvu ya kutanua biashara zake hivyo mrithi alitakiwa awe mtu wa ndani e.g mwanae wa kumzaa.
Licha ya ubabe aliokuwa nao ambao wengi hawaujui ,ni mtu mwenye kusamehe haraka na kuachilia .
Maridhiano yanamuondoa kwenye reli anashindwa ajitetee vipi ila ni nani ataalikwa Ikulu na Rais halafu akatae?
Kiasi fulani kapoteza ushawishi Kwa umma ujanja wake umebaki kwa timu na genge lililomzunguka
TUNDU ANTIPAS LISSU
(Bush Cruelty)
Hana huruma,ni mchoyo,ana wivu ana visasi sana ni vile hana nguvu haswa serikalini na hata Kwa Mbowe ila ni moja ya mtu wa hovyo kabisa.
Ana uchungu na chama chake na nchi Kwa ujumla,mtaji wake ni watu wa Hali ya chini huku ndiyo alikojikita na wengi ni wafuata upepo kwani ni kama walibya tu waliotaka Ghadafi aondoke wakiwa hawajui ni kiongozi wa aina gani atakuja.
Ana Sera za kijima ni Magufuli mpya huyu akipewa CHADEMA badala ya kujenga na kuimarisha chama ataanza na wale timu Freeman Mbowe atawaengua na kuweka anaoona wanafaa visasi,na minyukano itakuwa mingi mno.
Hana busara hata ukijamba mbele za watoto atakwambia umejamba badala ya kukaa kimya.
Ana nguvu na ushawishi Kwa umma hili linampa nguvu na ari ya kuona anaweza kupokea kijiti.