Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja tu, kuna group Al Ahly amekutana na Mamelodi halafu wengine wawili wametoka Sudan na ni derby , Kocha wa Al Ahly kasema nafurahi wale ni local derby watatoana wenyewe na sisi tutafanikiwaTanzania tunatimu ngapi hapo ndugu zangu?
Mbona kuna mtu kaishaleta uzi humu kuwa Simba tayari imeshatinga robo fainali.Dah group ngumu
Mkuu kwenye historia ya mpira Africa Berkane na Mimosas ni timu zenye uzoefu mkubwa hawastahili kubezwa ,labda hiyo timu ya Nigeria na huwezi jua wanaweza kuja na supriseMbona kuna mtu kaishaleta uzi humu kuwa Simba tayari imeshatinga robo fainali.
Mkuu kwenye historia ya mpira Africa Berkane na Mimosas ni timu zenye uzoefu mkubwa hawastahili kubezwa ,labda hiyo timu ya Nigeria na huwezi jua wanaweza kuja na suprise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Group Z
1. Yanga sc
2. Kauzu fc
3. Keko furniture fc
4. Torori kombain fc
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app