Draw ya leo kwa Yanga

Elijah O

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
1,118
Reaction score
916
Naona kama Mr lwanda akianza kupaki vitu kuelekea kuitafuta treni ya Tazara ni muda na wakati utaongea
 
Watanzania tuna tabia ya kuwazoea watu....,,,. Tulimzoea tu Pluijm ndio maana tukaona uwezo wake umefikia mwisho....Ila babu ni bonge la kocha.
 
Yaa hii ya kuchomeka kocha katika ya msimu mala nyingi huwafanya wachezaji kuanza upya pia morale hupungua tetesi nasikia Jamaa anawapa mazoezi makali sana hili ni tatizo.
 
Nadhan
Naona kama Mr lwanda akianza kupaki vitu kuelekea kuitafuta treni ya Tazara ni muda na wakati utaongea
Naye anajua tabia za vilabu vya bongo, even in Europe, timu zikifungwa kocha anaondoka. Ni kuweka mkataba vizuri, terminated you get your dues promptly. Kama mkataba wa miaka mitatu ukiuvunja wanakulipa mishahara ya miezi iliyobaki na upkeep unapokuwa unasubiri chako- mikata ya weledi, otherwise wahuni vongozi wa vilabu hivi watakutesa.
 
Ulofa wa wabongo kudhani watashinda kila mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…