Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye anajua tabia za vilabu vya bongo, even in Europe, timu zikifungwa kocha anaondoka. Ni kuweka mkataba vizuri, terminated you get your dues promptly. Kama mkataba wa miaka mitatu ukiuvunja wanakulipa mishahara ya miezi iliyobaki na upkeep unapokuwa unasubiri chako- mikata ya weledi, otherwise wahuni vongozi wa vilabu hivi watakutesa.Naona kama Mr lwanda akianza kupaki vitu kuelekea kuitafuta treni ya Tazara ni muda na wakati utaongea