allantence
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 353
- 301
Nipo dar mkuu.Upo mkoa gani?
Asante .Nenda Survey...ukitokea Makumbusho panda magari ya kwenda mawasiliano kupitia chuo kikuuu ukishapita Mlimani City shuka kituo kinachoitwa Survey kabla hujavuka daraja la kukufikisha ARDHI University...Kuna kamtaa kanaingia kulia of which kuna series ya stationary, uliza stationary kwa Babu! Kama zitakuwa zimeisha atakuelekeza pa kupata