Drawing board, t square

Drawing board, t square

allantence

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
353
Reaction score
301
Habar wadau,natafuta vifaa tajwa hapo juu ,endapo kuna mtu anaviuza au anajua vinapopatikana kwa jumla anipe bei tafadhali.Natanguliza shukrani.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nenda Survey...ukitokea Makumbusho panda magari ya kwenda mawasiliano kupitia chuo kikuuu ukishapita Mlimani City shuka kituo kinachoitwa Survey kabla hujavuka daraja la kukufikisha ARDHI University...Kuna kamtaa kanaingia kulia of which kuna series ya stationary, uliza stationary kwa Babu! Kama zitakuwa zimeisha atakuelekeza pa kupata
 
Asante .

Back
Top Bottom