Tarehe 18 Juni 2025, timu za wataalamu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Rwanda ziliweka saini ya awali kwenye maandiko ya Mkataba wa Amani, tukio lililoshuhudiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya kisiasa, Allison Hooker. Hatua hii inalenga maandalizi ya kutiwa saini rasmi kwa Mkataba huo na Mawaziri tarehe 27 Juni 2025, mbele ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio
Katika muktadha wa uratibu unaoendelea kati ya juhudi za upatanishi za Marekani na Serikali ya Qatar, Qatar ilishiriki kikamilifu kwenye majadiliano hayo ili kuhakikisha kuna ulinganifu na mshikamano kati ya juhudi za mataifa hayo mawili katika kuendeleza mazungumzo na amani katika ukanda huo. DRC na Rwanda zilieleza shukrani zao kwa mchango mkubwa na juhudi za pamoja za Marekani na Qatar kama washirika wa kusukuma mbele suluhisho la amani
Inatarajiwa Mkutano wa Viongozi Wakuu wa Nchi utakaofanyika Washington, D.C., kwa lengo la kuendeleza zaidi juhudi za kuimarisha amani, utulivu, na maendeleo ya kiuchumi katika eneo la Maziwa Makuu
===
On June 18, 2025, technical teams from the Democratic Republic of the Congo and the Republic of Rwanda initialed the text of the Peace Agreement, witnessed by U.S. Under Secretary for Political Affairs Allison Hooker, in preparation for the Ministerial signing of the Peace Agreement on June 27, 2025, to be witnessed by U.S. Secretary of State Marco Rubio
Building on the Declaration of Principles signed on April 25, 2025, the Agreement was developed over three days of constructive dialogue regarding political, security, and economic interests. The Agreement includes provisions on respect for territorial integrity and a prohibition of hostilities; disengagement, disarmament, and conditional integration of non-state armed groups; establishment of a Joint Security Coordination Mechanism that incorporates the CONOPS of October 31, 2024; facilitation of the return of refugees and internally displaced persons, as well as humanitarian access; and a regional economic integration framework
As part of the ongoing coordination between the facilitation efforts of the United States of America and the State of Qatar, the State of Qatar participated in these discussions to ensure complementarity and alignment between both countries’ initiatives aimed at dialogue and peace in the region. Both the DRC and Rwanda expressed their appreciation for the valuable contributions and joint efforts of the United States and Qatar as partners in advancing a peaceful resolution
We look forward to the subsequent Summit of the Heads of State in Washington, D.C. to further advance peace, stability, and economic prosperity in the Great Lakes region
Source: U.S DEPARTMENT OF STATE, REUTERS & DW_KISWAHILI
Mkataba huu umejengwa juu ya Azimio la Kanuni (Declaration of Principles) lililotolewa Aprili 25, 2025, na umeandaliwa baada ya siku tatu za majadiliano ya kujenga kuhusu masuala ya kisiasa, usalama na maslahi ya kiuchumi. Mkataba unahusisha vipengele muhimu vikiwemo kuheshimu mipaka ya nchi na marufuku ya uhasama; kuondolewa kwa vikundi vya silaha visivyo vya kiserikali, kusalimisha silaha na uwezekano wa kuviingiza kwa masharti katika mifumo rasmi; kuanzishwa kwa Mfumo wa Pamoja wa Kuratibu Usalama (Joint Security Coordination Mechanism) unaojumuisha mpango wa CONOPS wa Oktoba 31, 2024; kurahisisha kurejea kwa wakimbizi na watu waliopoteza makazi pamoja na kuwezesha upatikanaji wa misaada ya kibinadamu; na kuweka mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikandaKatika muktadha wa uratibu unaoendelea kati ya juhudi za upatanishi za Marekani na Serikali ya Qatar, Qatar ilishiriki kikamilifu kwenye majadiliano hayo ili kuhakikisha kuna ulinganifu na mshikamano kati ya juhudi za mataifa hayo mawili katika kuendeleza mazungumzo na amani katika ukanda huo. DRC na Rwanda zilieleza shukrani zao kwa mchango mkubwa na juhudi za pamoja za Marekani na Qatar kama washirika wa kusukuma mbele suluhisho la amani