DRC ndani ya EAC: Jumuiya sasa ina walaji milioni 280; ushindwe mwenyewe kwa uzembe wako!

DRC ndani ya EAC: Jumuiya sasa ina walaji milioni 280; ushindwe mwenyewe kwa uzembe wako!

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jumuiya sasa imeunganisha bahari Hindi na Atlantic.

DRC yenyewe kwa ukubwa wa ardhi ilikua kubwa hata kuzidi jumuia ya EAC ya mwanzo, halafu ardhi yao ina rotuba nzuri kote na madini ya kumwaga, wao hukwamishwa na mavita vita tu japo hayapo nchi yote.

Wawekezaji hii ndio fursa sasa, kawaida wazembe watakuja na zile stori za oohh! DRC kuna vita, oooh kuna Ebola ila tulio majasiri tunakwenda kifua mbele, nimekua pale Sudan Kusini ambapo huwa tunaambiwa stori za vita vyao kila siku.

Asikwambie mtu, Wakenya wamewekeza kule hadi raha, kuna ushindani mkali baina ya Wakenya na Wahabeshi, uzuri Wakenya huwa nafuu wamelindwa kwenye muungano, Mhabeshi lazima asake sijui mara visa na mazaga zaga yote.

Soko la walaji milioni 280, yaani chochote unachozalisha una uhakika wa kuwafikia watu milioni 280 bila usumbufu, ifahamike China wao hupiga hatua kwa ajili wapo wengi kwao, zaidi ya bilioni, na ndio kitu tunachokwenda kukifanya.

Sisi tulio kwenye tasnia ya TEHAMA hebu tuwahi hizi fursa jameni.

============

EAC now one of Africa's largest trading areas​


The East African Community (EAC) is now one of the leading trading blocs in Africa, thanks to the entry of DR Congo yesterday.

The expanded bloc is now third ranked among the eight economic communities in Africa in terms of the number of consumers

Vast DRC, with a population nearing 100 million, became the seventh member of EAC, boosting the region’s population to 280 million.

EAC now trails the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) and the Economic Community of West African States (Ecowas).

Comesa has a market of 406 million people, followed by 349 million in the 15 member Ecowas.

In terms of consumer market, the EAC is slightly ahead of the Southern African Development Community (Sadc) but more than double the population of other blocs.
Statistics indicated in Gross Domestic Product (GDP) - purchasing power parity - EAC is ranked fifth among the eight economic blocs in Africa.

But, with the entry of resource-rich DRC into the EAC, the enlarged economic group is likely to trail only Ecowas and the Arab Maghreb Union (AMU) in this segment.

In nominal GDP, DR Congo’s admission to the EAC has raised the combined GDP of the region to $ 280 billion from the current $220 billion.

DR Congo became a seventh member of the EAC yesterday in a move set to expand the market of the latter’s products.

DRC, on its part, targets to attract investments for its huge and largely untapped natural resources; forests, water and minerals.

The regional leaders unanimously agreed to admit the vast country into the bloc, fully optimistic of the economic gains of the expansion.

“With DRC, intra-EAC trade could reach our target of 25 percent from the current 15 percent,” said the secretary general Peter Mathuki.

He told a hybrid press conference in Arusha after the summit that only 11 percent of what is consumed now in DRC was from the EA bloc.

With a population of 95 million (nearly 100 million), the giant country would provide a sure market for products from East Africa.

DR Congo, noted for its poorly developed industrial sector and transport infrastructure, is set to benefit from investments.

“This is a momentous occasion for EAC economic integration. We are expanding our market size to 300 million people,” he said.

With 2.3 million square kilometres, DRC now overtakes Tanzania (947,000km square) as the largest and most populous country in the bloc.

Its entry as the new member would upgrade the region’s nominal gross domestic product (GDP) from $193 billion to $240 billion.

The population of the expanded bloc will rise to 275 million, making EAC third ranked economic bloc in Africa in terms of number of consumers.

Despite sharing borders with five EAC members- Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda and South Sudan, trade between the DRC and its neighbours has been surprisingly low. Over the last seven years, the proportion of EAC exports to the DRC has averaged only 13.5 percent.

EAC Chair President Uhuru Kenyatta of Kenya said DR Congo admission was yet another attempt by the region to create wealth.

The move would also open up transport corridors to the ports of Dar es Salaam and Mombasa for the largely land-locked country.

DRC President Felix Tshishekedi described his country’s entry into the bloc as a historic event of great significance.

President Samia Suluhu Hassan lauded the EAC secretariat for meticulously coordinating the entry of DRC into the bloc.

President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda said the move would address the security challenges in the Great Lakes Region.

President Paul Kagame of Rwanda said DRC’s membership in the Community was in line with the quest “for a wider economic bloc”.

Burundi leader Evariste Ndayishimiye was represented by his vice president Prosper Bazombaza who said expanded EAC was key to stability.

EAC secretariat officials said DRC will be required to sign the Accession agreement by April 14th this year and forwarded to the Parliament.

The Parliament in Kinshasa must ratify this, paving the way for the country to deposit the instruments of ratification to the EAC secretary general by September 29.

Source: The Citizen
 
Tatizo lako wewe ni mihemuko na kupenda kujisifu bila kutumia akili, vivyo hivyo ulikuja na sifa za kugunduliwa mafuta mengi huko Lamu, tulikushauri utulie kwanza na uangalie upepo unavyokwenda, Je umeona lililotokea,?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
.

Hivi unadhani biashara inafanyika kwa nchi kuwa mwanachama pekee?, Mbona Kenya ni mwanachama wa COMESA lakini hamfanyi biashara nzuri na nchi za COMESA Kama mnavyofanya na Uganda na Tanzania?.

Biashara inahitaji maandalizi Kama vile 1)Amani na usalama, 2)Political stability, 3)Miundombinu imara ya usafiri na usafirishaji, 4) Sera nzuri za biashara. Sasa Kama Kenya mumeshindwa hata kuifikisha reli yenu mpakani mwa Uganda ili Uganda waunganishe hadi DRC, hiyo biashara mtaifanyaje zaidi ya watu wachache kwenda kufungua biashara huko DRC Kama mnavyokwrnda huko South Sudan , Uganda na Tanzania?.

Punguza mihemuko na ushabiki wa kitoto kaka, wewe ni mtu mzima unapaswa kubadilika na uanze kuweka michango inayohamsha mijadala ya kujenga sio mijadala ya kujibishana kwa kushambuliana
 
we popoma kwa ku simplify hoja ,sijui unatatizo gani kichwani.wabongo tupo miaka kibao kwenye business congo,eneo kubwa na rasilimali zilizopo usije waponza nyang'au wenzao.large area but few places settled politically. sio alshabab wanaua na hawachukui kitu huku some places dominated na makundi ya waasi kiuchumi na huingii ,scattered ya miji na poor infrastructure ndo bad enough.kuna ndege ya UN imetungulia juzi tu apa drc any way welcome kalemii
 
we popoma kwa ku simplify hoja ,sijui unatatizo gani kichwani.wabongo tupo miaka kibao kwenye business congo,eneo kubwa na rasilimali zilizopo usije waponza nyang'au wenzao.large area but few places settled politically. sio alshabab wanaua na hawachukui kitu huku some places dominated na makundi ya waasi kiuchumi na huingii ,scattered ya miji na poor infrastructure ndo bad enough.kuna ndege ya UN imetungulia juzi tu apa drc any way welcome kalemii

Tuliza hamaki kunywa glasi ya maji kisha uje upya, nimesoma andiko lako sijaelewa kitu maana unaonakena una machungu hadi haupo coherent, sijaelewa maumivu yote hayo ya nini, mara alshabaab mara UN.....kha!

Hata hivyo DRC, kwa wawekezaji kutoka EAC, sisi Wakenya ndio tulikua tunaongoza licha ya kutokua nao kwenye muungano wowote, mabenki yetu yanatawala kule, sasa tupo nao kwenye muungano.

Sisi hatuzuiwi na hayo mavita vita ambayo nyie hutumia kama kisingizio cha uzembe wenu, tunaingia mazima mazima, ukiwa mwoga haitokuja siku ufaulu kimaisha, Wakoloni walikuja Afrika na kuwekeza pakubwa enzi hizo licha ya palivyokua hovyo, hawakua waoga, hivyo tufanye kazi bila uwoga.

Kuna huu uzi huku nilikua nasoma comments zenu mnatia huruma, uzi wote mnajadili vita vita tu vya DRC Ujio wa DR Congo EAC: Kiburi cha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa kimefika mwisho
 
Kujiunga kwa DRC kunakuja na mengi, mazuri na mabaya, usifurahie mazuri pekee, muwe tayari kusaidia DRC katika hili,
Kenya Kamwe haina uwezo Wala moyo wa kujitoa kusaidia nchi za Afrika zenye matatizo tangu enzi za ukombozi, mnasubiri Mambo yawe mazuri ndio mjipitishepitishe
 
Hawa Ni umaskini wameleta!!!
GDP per capita imeshrink to less than a $1000!!!!
Bure kabisa.
 
Yaani nchi zote zingine ndani ya EAC, kwa pamoja, bado hazitoshi mboga mbele ya DRC. Size- 2.3 million Sq Kilometres.
 
tutaenda kujimilikisha arzi huko.
Yaani ardhi tu ndio tamaa yenu? Utafanyaje na ekari elfu 2 za ardhi yenye rutuba at the middle of no electricity, roads, water, security, social eminities

Sehemu kubwa ya DRC ipo under the siege kama ilivyo sehemu kubwa ya Kenya, zaidi ya 40% ya counties zenu hazina tofauti na DRC kiusalama sababu waasi na makundi ya uasi yana nguvu kuliko serikali yenu.
 
Yaani ardhi tu ndio tamaa yenu? Utafanyaje na ekari elfu 2 za ardhi yenye rutuba at the middle of no electricity, roads, water, security, social eminities

Sehemu kubwa ya DRC ipo under the siege kama ilivyo sehemu kubwa ya Kenya, zaidi ya 40% ya counties zenu hazina tofauti na DRC kiusalama sababu waasi na makundi ya uasi yana nguvu kuliko serikali yenu.

Walowezi wangekua waoga na wazembe kama mlivyo, hii dunia ingekua nyuma sana na umaskini ungetamalaki kama ilivyo kwenu huko.
Kwa mfano wakoloni walikuja Africa wakakuta bara lisilo na umeme, barabara au hata maji ya bomba, lakini wakapambana kuliboresha, acheni kupenda mdebwedo.
 
Hivyo mkishindwa nyie ina maana tushindwe wote....
hatujashindwa boss,UN yenyew imeshindwa kudhibiti aman ya congo nani ataweza?congo iki settle kuna watu watakosa michongo tena vibaraka wakubwa wa US.usalama haupo drc boss ardhi kubwa lakini wanaikimbia ,ukilima makundi ya waasi wanakuja kuvuna.usalama kidogo upo kwenye miji na sio vijiji au miji midogo
 
Mimi sijaona shida kwenye hoja ya MK254.
Hii ni fursa kwa wafanyabiashara sasa kuingia DRC itakuhitaji kuwa na EAST AFRICA PASSPORT.
Kwa sisi wafanyabishara wa dhahabu sasa ni mwendo wa kwenda kukusanya gold huko DRC.
 
Congo Kinshasa karibuni kwenye Jumuia yetu ya Afrika Mashariki
Nalog off Z
 
hatujashindwa boss,UN yenyew imeshindwa kudhibiti aman ya congo nani ataweza?congo iki settle kuna watu watakosa michongo tena vibaraka wakubwa wa US.usalama haupo drc boss ardhi kubwa lakini wanaikimbia ,ukilima makundi ya waasi wanakuja kuvuna.usalama kidogo upo kwenye miji na sio vijiji au miji midogo
wanakwambia wao ni agressive and that's the main approach and strategy! Sasa hao Equity Bank walikuwa Tanzania tangu 2012 na wameshindwa kuonyesha huo ua-gressive wao! Then wakaenda South Sudan napo wameshindwa, sasa tungoje DRC!
 

CRDB bank to opens Lubumbashi subsidiary next quarter

6. April 2022

By Guardian Reporter
Business
The Guardian
CRDB bank to opens Lubumbashi subsidiary next quarter

CRDB Bank is expected to spread its wing across eastern Africa region, after announcing the launch of operation in DRC’s second capital Lubumbashi.

CRDB%201.JPG


This is part of the bank’s mission to bridge financing gap in eastern Africa, especially among Tanzania, DRC, and Burundi.

The launch of the bank’s DRC’s operation is scheduled during the next quarter, according to an official statement issued by the bank yesterday.

The idea to come up of the DRC subsidiary is in corresponding with the recent acceptance of the country as the new member of East African Community (EAC).

The Burundian Prime Minister, Mr Alain Guillaume Bunyoni, said was pleased about the opening of DRC subsidiary, but calling for physical financial services outlet on the Burundi-DRC border as well.

"I urge the bank to bring the Congo branches closer to Burundi borders in Uvira and Bukavu so that cross border businesses with two countries can be reliable," Mr Bunyoni said when welcomed CRDB Bank delegation.

The delegation was led by Group Chairman Dr Ally Lay and the Group Managing Director and CEO, Mr Abdulmajid Nsekela and was accompanied by Jilly Mareko, Ambassador of Tanzania to Burundi.

The purpose of the visit was to appreciate the support the bank is getting from the government of Burundi since the lender opened its subsidiary in 2012.

The bank assured Burundians that will continue to partner with governments of Burundi and Tanzania to finance mutual projects undertaken by the two countries especially the Standard Gauge Railway project.

The Premier appreciated the support CRDB is providing to the economy of Burundi through different lending instruments to individuals, corporates and even the government.

He reminded the delegation that the bank was the first to introduce the mobile branch in Burundi and this was really an innovation.

"It is also important to note that the bank through its endless digital transformation program is supporting Burundi and Tanzania trade transactions by giving smooth platform access especially through cross-border transactions and the Port Authority for clearance.

The Chairman, Dr Laay said the bank is deploying digital channels to ensure reliable and affordable services to unbanked population in Burundi.

"This will support the Burundi in its financial inclusions agenda," Mr Laay said adding:

In line with the 10 years of Burundi's National Development Program, the chairman said, the bank looks forward to focus its influence on the development of economic sectors like agriculture, manufacturing, housing, tourism and hospitality which are crucial in the employment of the youth and the inflows of foreign currency into the country.

CRDB Bank CEO Abdulmajid Nsekela said the bank is ranked third largest in terms of lending, after only 10 years in operations and 20per cent of its portfolio is financing Burundian farmers.

"Over the last ten years, the bank has continued to support Burundi economy by providing innovative products and services to corporates, individuals and institutions customers through tailored savings and lending products," Mr Nsekela said.

The bank - which has been in Burundi since 2011 has a total of four branches, three in Bujumbura and one in Ngozi town. This year CRDB Bank plan to open a fifth branch in Gitega District.

Commenting on the financial results of the Burundi subsidiary, CRDB Bank Burundi Managing Director, Fred Siwale said last year they made a profit of 12.8bn/- , 14 percent increase compared to 11.1b/- recorded in 2020.

Loans and Advances increased by 62 percent from 225bn/- to 598bn/- billion and the bank is major taxpayer for the Burundian government.

 
Back
Top Bottom