DRC ndani ya EAC: Nini maana yake?

Hayo umesema wewe.
Sasa Kuna Umuhimu gani wa kuwa na Jumuia ambayo wanachama wana Malengo tofauti? Ni sawa na Kuleta Mafundi Wawili(Mmoja Mjenzi na Mwingine Fundi Cherehani) harafu eti wakutengenezee Gari iliyoharibika. Ni Kichekesho kitupu,Nyani tu ndio anaweza kufanya hayo maamuzi.
 
Jumuiya zetu ni kuviziana tu, kenya na Rwanda wana vizia ardhi,
Kesho mnakubaliana hakuna kuimport bidhaa flani kutoka nje kesho Kenya ana import.
Tanzania sijui anavizia nini burundi ni mtoto wetu anamfuata baba same to Congo.
 
Ndio maana nikwambia kwamba Hata hizo Mbwembwe za DRC kupata amani ya Kudumu Kisa kujiunga EAC Ni Ndoto za Mchana. EAC haiingilii Mambo ya ndani ya nchi Mwanachama. Na hii IPO Kimakusudi ili Kulingana kutokukosoana.
 
Hilo halina ubishi ila uswahiba unaweza fanikisha.
Tanzania imeingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine kwa mualiko wa maswahiba sio ajabu.
 
Hilo halina ubishi ila uswahiba unaweza fanikisha.
Tanzania imeingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine kwa mualiko wa maswahiba sio ajabu.
Hakuna Uswahiba uliowahi kufanikisha Amani Barani Afrika. Uswahiba wa Marais Ni Kunyemelea Utajiri wa DRC. Tumeona Kenya,Rwanda na Uganda wakianza kujisogeza karibu na DRC. Kenya imeshanunua Ekari za Kutosha huko DRC kwa ajili ya kulima NGANO. Rwanda inataka vitalu vya Madini huko KIVU KUSINI. Kidogo Uganda ndio inaweza kuwa bega kwa bega na DRC kupambana na Waasi baada ya Waasi kuanza kuvuka mipaka na kuvamia Uganda.
 
Rafiki mwaminifu ni Tanzania tu kwa Congo.
Ngoja tuone.
 
Rafiki mwaminifu ni Tanzania tu kwa Congo.
Ngoja tuone.
Tanzania Ni Kubwa Jinga kwa Mda MREFU. Manfesto ya Tanzania imeshabadilika,Tanzania inafocus Mambo yake ya ndani hasa uchumi kuliko kupambana Kijeshi nje ya nchi Kama ilivyokuwa miaka ya 60's.

Kiufupi,Tanzania haina Mpango na Amani ya Congo Wala Kuiba Raslimali za Kongo.Tuko kivyetu vyetu tu. Sera yetu ya Mambo ya nje haijabadilika tangu Vita baridi (NON ALLIGNED MOVEMENT).
 
Jumuiya zetu ni kuviziana tu, kenya na Rwanda wana vizia ardhi,
Kesho mnakubaliana hakuna kuimport bidhaa flani kutoka nje kesho Kenya ana import.
Tanzania sijui anavizia nini burundi ni mtoto wetu anamfuata baba same to Congo.

Siku zote Tanzania ndiye huviziwa tu.....hehehe!!!
 
Kama huwezi kupambana nao ungana nao!!
Hapo wameingia ili waweze kumbana vizuri tolu
 
Rafiki mwaminifu ni Tanzania tu kwa Congo.
Ngoja tuone.

Maisha ya leo hamna cha urafiki ila maslahi, hizo pumba za mara urafiki mara undugu ndio zimeifanya Tanzania imekua shamba la bibi miaka yote kila mtu akija mnamkenulia meno na kumuita ndugu kisha anachuma na kujiondokea.

Mnapaswa kutanguliza maslahi yenu kwenye kila kitu, hata miungano ni maslahi, leo hii Zanzibar wamewashinda kete, wao wamekua makini sana kwenye maslahi yao na juzi rais wao kasema hamna cha Mtanganyika kumiliki ardhi kule, ukienda huko unaonwa kama mgeni yeyote yule uishi kwa kutulia, ukimaliza kilichokupeleka geuza rudi Bongo.

Lazima mjifunze kupiga mahesabu ya maslahi sio hizo pumba za ndugu, hata Mchina mnamuita ndugu kisha anachuma.
 
Nachomaanisha kama Tanzania itakuwa rafiki basi ndio rafiki wa kumuamin tofauti
na mataifa mengine huwa yana pretend kupeleka jeshi lakin nia kuiba tu sio kumaliza vita.
Tanzania inapigwa vita sana Congo kuna kipindi ilikuwa na mpango wa kupeleka wakufunzi kwa jeshi la Congo
lakini ilipigwa ban na UN ikabidi ichukue askari wachache iwafundishie huku huku.
Hata kambi za Tanzania huko Congo zinashambuliwa sio bahati mbaya na imepewa eneo ambapo ndio njia ya waasi
tofauti na wengine waliojimegea vitalu akiwemo Southafrica amepack midege mikubwa na hazijwahi ruka hata siku moja
kushambulia waasi.
Nadhani kama unakumbuka siku ya kuaga wale wanajeshi kumi na nne kuna kitu serikali ilisema.
Naona ndio inaanza kuachana na kujitoa muhanga kwa ajili ya mataifa mengine.
 
Sio mimi ni siasa za ujamaa za Mwalimu ambazo madhara yake ni makubwa hasa wakati
huu ambapo mbwa mkubwa anamla mdogo na kutokula chochote hakukufanyi uwe mwema.
Wanasiasa wetu waisome dunia ya leo wasafiri pamoja nayo vinginevyo tutakuwa wasindikkizaji.
#mchawi wa Tanzania ni ujamaa.
 
Mchawi wa Tanzania ni ujamaa

Ningependa kufafanuliwa hapa 🛀
 
Umeandika maneno mengi mno ambayo hayalengi jambo 1, yametawanyika kwenye angles nyingi ambazo ni nyepesi kuhusishwa moja kwa moja na ujamaa sababu yapo karibu kwenye nchi zote za ulimwengu wa tatu

Bado sijapata point yako kuhusu ujamaa kuwa mchawi wa Tanzania, Ningependa kujua kwa kifupi sababu kubwa kuhusu hiyo hoja.
 
Tanzania tunafuata sera ipi katika uchumi?
 
Tanzania tunafuata sera ipi katika uchumi?
Inapaswa kuwa tunafuata au tunatekeleza?

Anyway Tanzania tuna uchumi huria, uchumi wa Tanzania upo huria lakini wenye ushawishi wa ujamaa ndani yake.

Kwa lugha ya kiingereza Tanzania inajulikana kama moja ya Countries with constitutional references to socialism
 
Uchumi huria kwenye raia na viongozi wenye mawazo na akili za kijamaa.
Unaamini tunapaswa kuendelea na huu mfumo(kwa maana ya kuwa mfumo huu umefaulu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…