DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
DRC president has requested the following from President Magufuli

1.Joining EAC
2.To connect electrified SGR from Kigali all tje way to Congo
3. To speed a revival of Joint Commission
4. Mafunzo ya Ulinzi
5.Kifundisha Kiswahili DRC

And many more...
 
East African Community tutaongea ki-lingala, loboko lobii papaa, ni juu ya nini, mutu ya mbuyi mayi, nguvu ya mamba iko kummayi
DRC washawahi kuishi kwa miaka mingi kama wakimbizi wengi wao wanakijua kiswahili kumbuka tuna mpaka wa 554 kilometre North to South
 
Aisee JPM akikamatia kwenye madini ataipaisha sana hio nchi.

Hapo atakuwa kamaliza kila kitu
Wacongoman walikuwa wanapiga makofi tu kwa wingi.

Kamwambia mengi
juu ya kuifungua Kigoma kwa barabara zinazojengwa,
Juu ya Air Tanzania kwenda DRC especially Lumbumbashi
Amesema tunasubiri ndege zingine mbili zifike

Yajayo yanafurahisha
 
It's a shame that DRC should be doing this now, with all the resources it should be a shining example in this part of the world. Very unfair
 
Naagiza mara moja kitengo kilichomshawishi muzeveni kupitisha bomba na kufufua Port Bell kifanye lobbying haraka kwenye hii SGR to DRC hasahasa kumpa Tshekedi modes of financing ukizingatia utajiri DRC ulionao kupata mkopo wa kujenga SGR sio tatizo

Haya yote yanatakiwa yafanywe na lobbyists mashuhuri kutoka Tanzania wapige ushawishi wa kufa mtu na kuanzia leo wasikakuke kwenye viunga vya Palais de la Nation Kinshasa.
 
Katika marais ambao JPM anapaswa kula nao urafiki wa amini ni huyu bwana, haki ya Mungu tukifanikiwa kupata mzigo wa DRC only 50% sisi sio sisi tena, lazima Tshekedi atekeleze kauli yake ya SGR regardless ametoa kunogesha soga tu lakini Tanzania we have to make it happen hilo ni letu kabisa na tunaliweza.
 
Mbona 55% ya cargo ya Eastern Congo inapita Dar!
 
Back
Top Bottom