REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
๐๐๐๐๐ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.Mbona 55% ya cargo ya Eastern Congo inapita Dar!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.Mbona 55% ya cargo ya Eastern Congo inapita Dar!
Wataaanzia wapi, Tanzania kwanza bhana.
Watakosa social acceptance wakileta ujinga
Congo kubwa baba kutoka Lubumbashi mpaka Kinshasa ni mbali na hakupitiki!๐๐๐๐๐ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.
๐๐๐๐๐ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.Mbona 55% ya cargo ya Eastern Congo inapita Dar!
Si ameonesha nia ya kujenga SGR kutoka Rwanda, ikifanikiwa itaongeza volumes sio haba.Congo kubwa baba kutoka Lubumbashi mpaka Kinshasa ni mbali na hakupitiki!
๐๐๐๐๐ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.
Mpaka Lubumbashi tu!๐๐๐๐๐ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.
Si ameonesha nia ya kujenga SGR kutoka Rwanda, ikifanikiwa itaongeza volumes sio haba.
DRC washawahi kuishi kwa miaka mingi kama wakimbizi wengi wao wanakijua kiswahili kumbuka tuna mpaka wa 554 kilometre North to South
Nilimaanisha only 50% of their total consignments as a country sio part of the country.Huwezi kupata ya nchi yote maana nao wana bandari yao.
Ila kakwama tu kwa Uhuru KenyattaMagu kiboko, ameshamuweka mfukoni kama alivyofanya Kagame na museveni
Katika marais ambao JPM anapaswa kula nao urafiki wa amini ni huyu bwana, haki ya Mungu tukifanikiwa kupata mzigo wa DRC only 50% sisi sio sisi tena, lazima Tshekedi atekeleze kauli yake ya SGR regardless ametoa kunogesha soga tu lakini Tanzania we have to make it happen hilo ni letu kabisa na tunaliweza.
Lo,kuna usemi usifuge mbwa kutegemea mavi ya mlevi ,jamma wa kask wanamdanganya mwarabu wana dhahabu kumbe wanategemea ya DRC walipokosa wakampa feki
Kukaa siku 30 sio suala. Wacongo wawahishe documents zao ili mizigo itolewe mapema. Wanaleta document kwa maajent wa Tanzania zikiwa zimeshapita hizo siku 30. Hasa makontena. Sielewi sababu.JPM kaongeza muda wa mizigo ya congo hadi siku 30 badala ya wiki tatu.
Kamwambia pia atamsaidia namna kusimamia rasilimali kama Madini
Mabenki yetu yameombwa yavuke mipakaKukaa siku 30 sio suala. Wacongo wawahishe documents zao ili mizigo itolewe mapema. Wanaleta document kwa maajent wa Tanzania zikiwa zimeshapita hizo siku 30. Hasa makontena. Sielewi sababu.
Nadhani, benki zao zinachelewesha kurelease hela kwa wauzaji.