DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

Mbona 55% ya cargo ya Eastern Congo inapita Dar!
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.
Congo kubwa baba kutoka Lubumbashi mpaka Kinshasa ni mbali na hakupitiki!
Si ameonesha nia ya kujenga SGR kutoka Rwanda, ikifanikiwa itaongeza volumes sio haba.
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘ Safi sana, tukiwin ya the whole country itapendeza sana.

Si ameonesha nia ya kujenga SGR kutoka Rwanda, ikifanikiwa itaongeza volumes sio haba.
Mpaka Lubumbashi tu!
 
East DRC Goma, Bukavu na Lubumbashi wanaongea Kiswahili Ila Kiswahili Chao kinachanganyika na kifaransa.
DRC washawahi kuishi kwa miaka mingi kama wakimbizi wengi wao wanakijua kiswahili kumbuka tuna mpaka wa 554 kilometre North to South
 
Katika marais ambao JPM anapaswa kula nao urafiki wa amini ni huyu bwana, haki ya Mungu tukifanikiwa kupata mzigo wa DRC only 50% sisi sio sisi tena, lazima Tshekedi atekeleze kauli yake ya SGR regardless ametoa kunogesha soga tu lakini Tanzania we have to make it happen hilo ni letu kabisa na tunaliweza.

Sijajua ni asilimia ngapi za cargo za Kongo zinapita Dar, ila Kongo wanaongoza kwa kupitisha cargo zao Dar ukilinganisha na nchi zingine.

Hata hivyo tunatakiwa kuhakikisha cargo zao zote zinapita dar
 
kiukweli DRC ina deserve kujiunga na EAC na kwa swala la DRC kujenga SGR kama watajenga kweli bac itapendeza maana sio zambi ukapanda treni Dsm ukaenda mpaka kinshasa au lubumbashi a kwenda Nairobi kwa treni tokea dsm AU KWENDA Juba kwa treni tokea dsm
 
JPM kaongeza muda wa mizigo ya congo hadi siku 30 badala ya wiki tatu.

Kamwambia pia atamsaidia namna kusimamia rasilimali kama Madini
Kukaa siku 30 sio suala. Wacongo wawahishe documents zao ili mizigo itolewe mapema. Wanaleta document kwa maajent wa Tanzania zikiwa zimeshapita hizo siku 30. Hasa makontena. Sielewi sababu.
Nadhani, benki zao zinachelewesha kurelease hela kwa wauzaji.
 
Hiyo reli tungeijenga tukawapa kama mkopo kupitia PPP,
 
Back
Top Bottom