DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

Most inland waterways are developed in areas of high economic value.E.g Saint Lawrence sea way between Canada and US
 
Anadhani si tunashindana nao that's y si tunaongelea upande wetu na Congo tunaopaka jinsi gani tunarahisisha biashara ye anadhan mnaongelea mashindano na nchi yake Kenya ndio maana humwelewi.. Msamehe bure
 
Tukifanikiwa kufikisha SGR KIGALI tuu Congo itafika tuu wale jamaa zetu wataula wa chuya.Na kwa sasa hizi bandari zinanazojengwa kwenye ziwa Tanganyika ni balaa sana.JPM si mtu wa mchezo mchezo aisee.Bandari zinajengwa kuanzia Sumbawanga,mpanda na Kigoma ili kurahisisha usafiri Ziwani
 
Furthermore distance from kigoma port to kalemie port in DRC over Lake Tanganyika is 126.6 km.This will just complicte matters.
 
Mnachoongea hata hamkijui.

Sikia hii.

Upande wa DRC kuna Bandari zifuatazo
UVIRA
BARAKA
MOBA
KALEMIE

Upande wa TZ kuna (Major)
KIGOMA
KASANGA

ndogondogo 15+
Kagunga
Sigunga
Kipili
Kala
Kalema
Sibwesa

Zingine sizikumbuki

Meli zilizopo.
MV LIEMBA
MV MWONGOZO

Zipo zingine za Wacongoman na warundi
Umbali kati ya Tz na drc ni kama Kajiado na Kitengera au Basi Sirare na Migori
 
Wea cha hizo kuna kamati zinakutana kumaliza hayo matatizo,na kwambia baada ya muda utaona mabadiliko makubwa .Kwanza TRC wanablock treni ya moja kwa moja kwenda kigoma maana yake wafanyabishara wa DRC wanaweza kushusha kontena zao zikapakiwa mpaka Kigoma then kwenye meli mpaka bandari za DRC.Na hii terni inatumia siku 2 tuu mpka kigoma.
 
Tunaweza kufikisha mizigo yao kuanzia Kalemie na Uvira pia maana wanabandari kule kama Kigoma
Napafahamu pote huko mkuu, wala wasikupe shida hawa nyang'au washaumia.

Yajayo.yanafurahisha, SGR ya Tanzania inaweza kuwa extend hadi Uganda mpakani count my word.
 
Si mpo wote sadc , mlikua mnasubiri waje EAC ndio mchangamkie fursa? Kama mlishindwa kipindi kile hata hichi kipindi hamtaweza.
 
ila ajipange ugomvi na shoga yake kweli nimeamini sasa tumeanza kujaribu kuwa na permanent interest na sio permanent friend as long uchumi utasogea!
Yule hana lolote.
Tunaweza kumtoa in a second.
 
Kulikua na vita, mbona ninyi hamfanyi biashara na Somalia au South Sudan?
Nenda south Sudan uone kampuni za Kenya zilivyowekeza kule we control financial services in south Sudan, Somalia pia kuna biashara za mpakani pale , mbona Sisi tunafanya tu biashara na DRC ?.
 
Nenda south Sudan uone kampuni za Kenya zilivyowekeza kule we control financial services in south Sudan, Somalia pia kuna biashara za mpakani pale , mbona Sisi tunafanya tu biashara na DRC ?.
Wewe ninahisi dish lako limeyumba, hata DRC na Tanzania kuna biashara zinafanyika, DRC ndio wanaongoza kwa kusafirisha mzigo wa Shaba ktk bandari ya Dar. Sisi tunachozungumzia ni serikali ya Kenya na Somalia au South Sudan kuanza kuzungumzia na kujenga barabara au reli ili watu na Mizigo waweze kwenda. Hizi biashara zinazofanyika sasa hivi ni kwa watu wachache wenye kujitoa muhanga ktk hiyo mipaka ya Somalia na South Sudan.
 
Kukosa mpaka wa ardhi kuunganisha kwa road ni hindrance kubwa sana ziwa sio efficient so kenya na Tzn zitafaidi kupitia Uganda,rwanda,Burundi na Zambia
 
True coz northern and southern Congo ndio potential but area bordering lake Tangangika hamna kitu na hakuna miji ya biashara
 
Sawa zinajengwa lakini tambua kwamba ukanda wa mwambao wa ziwa Tangangika hauna biashara wala economic Value yoyote kwa pande zote,hizo bandari zinasafirisha mahindi mchele na cement tuu ndio maana hakuna miji mikubwa mwambao mwa ziwa
Yaani miji ya sumbawanga na mpanda ni mikubwa sana kuliko vijiji vya kaleimie na moba sasa sioni kuimarika kwa biashara labda interior big towns za congo ziwe poa
Pili kaskazini na kusini mwa drc ndio kuna mali
 
Kukosa mpaka wa ardhi kuunganisha kwa road ni hindrance kubwa sana ziwa sio efficient so kenya na Tzn zitafaidi kupitia Uganda,rwanda,Burundi na Zambia
Muhimu ni better means of transportation, kumbuka usafiri wa maji ndio the cheapest means of transport, mbona Dar na Zanzibar kuna biashara kubwa kuliko Dar na Tanga au hata Dar na MOROGORO?
 
Kutakuwaje na biashara wakati usafiri haukuwepo?. Lazima kuwepo na mazingira bora ya kufanya biashara, usafiri wa uhakika ambao ni bei rahisi ni kichocheo kikubwa sana katika kukuza biashara, utaanza kuona wakulima wa Mahindi wa Sumbawanga wataanza kupeleka mahindi wenyewe upande wa Congo.
 
Muhimu ni better means of transportation, kumbuka usafiri wa maji ndio the cheapest means of transport, mbona Dar na Zanzibar kuna biashara kubwa kuliko Dar na Tanga au hata Dar na MOROGORO?
Kujibu swali lako rejea comment yangu hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…