DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

DRC to build an Electrified SGR from to connect Dar-Kigali SGR

Na Kama mnafanya biashara na hizi Nchi zote, mbona bado mko kundi la LDC 2019??? Tz ina kasoro fulani bado najaribu kuelewa kieleweke.
Mnachangamkia DRC baada ya kuona Kenya imechangamka yani nyinyi no reactive si proactive kwa biashara yani mpaka muige wenzenu babkubwa.
Hatushindani wala hatuwaigi mzee....tunafanya kwa maendeleo yetu
 
Back
Top Bottom