DRC yajiandaa kujiunga EAC baada ya rais wake kutembelea Kenya na kuwa na vikao vya faragha

DRC yajiandaa kujiunga EAC baada ya rais wake kutembelea Kenya na kuwa na vikao vya faragha

Kwahivyo hii list yako inaonesha kwamba Tz inaongoza Afrika kwa kuhififadhi wakimbizi kama mwenzako alivosema?
Wewe tatizo lako unapapala sana. Mimi nimesema Tz imepokea wakimbizi wa nchi zote za E.A. sijasema inaongoza kwa ku host wakimbizi wengi. Nchi pekee ambayo haijawahi na haina ata dalili za kukumbwa na machafuko kwenye ukanda huu ni T.Z na kijiografia T.Z imepakana na karibu nchi zote, hiyo ndiyo hoja yangu. Kenya ata bila machufuko kikifika kipindi cha uchaguzi plates number za magari ya Kenya zinajazana Arusha, Moshi, Tanga na Dar. Kipindi mlivyo chinjana ilibidi mpaka uwe wazi mkawa mnatililika tu pale Namanga. Wakenya mlio kua JF mna advantage machafuko yakitokea tayari mna watu wakuwapokea, Mimi nita ku host Pingli-nywee incase 2022 kikanuka tena God forbid, nitakuja kukusomba Namanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wewe ndio unahitaji tafsir
Hebu checki hiyo hapo chiniView attachment 1021449

Sent using Jamii Forums mobile app

Tz hata haipo kwenye nchi tano zenye wakimbizi wengi Afrika, kwenye list yako hii ina maana Kenya ina mara mbili idadi ya wakimbizi waliopo Tanzania, hivyo mnapojitutumua kujipima na Kenya mjue hili bara linatutegemea pakubwa, na sasa hivi tunaiweka sawa DRC japo hatupo nao mpaka mmoja.....ndio kazi ya regional powerhouse

Nyie mumeshindwa kuisaidia DRC zaidi ya kuwaambukiza umaskini wenu.
 
Wewe tatizo lako unapapala sana. Mimi nimesema Tz imepokea wakimbizi wa nchi zote za E.A. sijasema inaongoza kwa ku host wakimbizi. Nchi pekee ambayo haijawahi na haina ata dalili za kwenye ukanda huu ni T.Z. Kenya bila machufuko kikifika kipindi cha uchaguzi plates number za magari ya Kenya. Mimi nita ku host Pingli-nywee incase 2022 kikanuka tena God forbid, nitakuja kukusomba Namanga.Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! 😀 Eti unajipiga kifua ukisema utakavowasaidia watu, maajabu haya. Kenya ni hifadhi kwa wakimbizi kutoka ukanda huu wote. DRC, Rwanda, Burundi, S.Sudan, Somalia, Ethiopia, Eritrea hadi na Tanzania, kule kwetu Kajiado County, maeneo ya Tarakea na Loitoktok. Albino waliovuka boda kwasababu ya mnavowachinjachinja kila uchao. Namanga ni home base, wewe komalia huko huko Manzese. Ntakupokea boda ndugu yangu, wakianza kukuandama ili wakunyofoe viungo au wakuchune ngozi. [emoji1]
 
Hahaha! 😀 Eti unajipiga kifua utakavowasaidia watu, maajabu haya. Kenya ni hifadhi kwa wakimbizi kutoka ukanda huu wote. DRC, Rwanda, Burundi, S.Sudan, Somalia, Ethiopia, Eritrea hadi na Tanzania, kule kwetu Kajiado County, maeneo ya Tarakea na Loitoktok. Albino waliovuka boda kwasababu ya mnavowachinjachinja kila uchao. Namanga ni home, wewe komalia huko huko Manzese. Ntakupokea boda ndugu yangu, wakianza kukuandama ili wakunyofoe viungo. [emoji1]
Incident za albino mbona ata Kenya zimeshawahi kutokea. Mkimbizi kutoka Rwa au Brnd hawezi kimbilia Kenya. Mimi siishi Manzese msee, sehemu ninayo ishi ni kama Lavington yenu, usijali 2022 wewe ni PM tuwasiliane utaona ninapo ishi. Mwana JF mwenzangu lazima nikusaidie unaeza kuja na jamaa zako [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kweli japo unatuuma sana.
Tz hata haipo kwenye nchi tano zenye wakimbizi wengi Afrika, kwenye list yako hii ina maana Kenya ina mara mbili idadi ya wakimbizi waliopo Tanzania, hivyo mnapojitutumua kujipima na Kenya mjue hili bara linatutegemea pakubwa, na sasa hivi tunaiweka sawa DRC japo hatupo nao mpaka mmoja.....ndio kazi ya regional powerhouse

Nyie mumeshindwa kuisaidia DRC zaidi ya kuwaambukiza umaskini wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya DRC ni ya pili kwa ukubwa Afrika, ina raia takriban milioni 80 na imejaa madini kote kote ikiwamo pia ardhi yenye rotuba kila sehemu, japo imekumbana na misukosuko ya ghasia, lakini taratibu raia wake wanapambana kubadilisha taswira ya nchi.
Rais wetu amekua kwenye mstari wa mbele katika kuhakikisha hiyo nchi imepata utulivu, ikiwamo kuhudhuria kuapishwa kwa rais wao mpya, ambapo yeye pekee yake ndiye alihudhuria, wengne wote alidai kubana matumizi.
Sasa taratibu na mikakati imeanza ya kuikaribisha DRC kwenye muungano wa EAC. Hii ni hatua nzuri sana maana EAC tumekua tukikwamishana kwa baadhi ya wanachama kudai kwamba ardhi yao ndio huwa inalengwa, sasa hapa anaingia mwanachama mwenye ardhi kubwa kupitiliza.
-----------------

Arusha. The East African Community (EAC) welcomes the intention of the Democratic Republic of Congo (DRC) to join the bloc, a senior official has said.
The Secretariat official said yesterday that they were awaiting an official letter from Kinshasa on the matter.
“DRC is a huge country with a great potential to strengthen the economic integration of our region,” he told The Citizen.
During his state visit to Kenya last week, the recently elected DRC president Felix Tshishekedi announced his country’s intention to apply for EAC membership. The secretariat’s official said news of DRC’s intention had in fact excited some EAC officials and affiliated institutions.
“DRC is more than a neighbour. It is a longstanding trading partner with practically all EAC states,” he said. EAC is an intergovernmental organisation composed of six countries namely; Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda and South Sudan. According to Article 3 of the EAC Treaty, any country outside these can be granted membership of the Community provided it meets certain terms.
https://www.thecitizen.co.tz/News/1840340-4979470-1cosq/index.html

Meanwhile huko Baringo mambo sio poa kabisa Bwana MK254:

Itabidi uongeze chaji kwenye ubongo ili uje kuelewa mchezo wote huu. Mumekua mkizungushana kwenye mbuyu na hawa DRC, mchezo unachezwa kivingine sasa.
Watu wanaoelewa kitu kinaitwa behind the scene interventions and games can easily interpret the following
- Kenya is the corporate headquarters for China, US, UK, EU to venture into Africa continent
- Nairobi being made a mineral trade hub
- Thousands of acres of arable land for commercial farming
- Mineral extraction rights
- Unlimited timber
- SGR hitting DRC and bridging Atlantic and the Indian Oceans

I can keep on writing all day and night but am damn sure this is beyond your pay grade/scale
is Congo DR shares a boarder with kenya?
 
Incident za albino mbona ata Kenya zimeshawahi kutokea. Mkimbizi kutoka Rwa au Brnd hawezi kimbilia Kenya. Mimi siishi Manzese msee, sehemu ninayo ishi ni kama Lavington yenu, usijali 2022 wewe ni PM tuwasiliane utaona ninapo ishi. Mwana JF mwenzangu lazima nikusaidie unaeza kuja na jamaa zako [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kucatch mafeelings jombaa. Warundi na warwanda na wakongo ni wengi sana Kenya. Hao albino unaosema walikuwa wanadakwa Kenya wakiletwa Tz. Hadi pale wanaharakati wa haki za kibinadamu Kenya wakiongozwa na mbunge Issac Mwaura, ambaye ni albino pia, walipoliamsha ndio vitengo vya usalama vikawashughulikia hao wahuni wenu. Miaka yangu ya utotoni niliishi kwa uoga mkubwa wa wachuna ngozi wa kitanzania, kwahivyo usiwe na presha, nina ufahamu wa hayo matukio yenu ya ajabu ajabu.
 
Umeongea kweli japo unatuuma sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hehehe! Yaani sijaona taarifa zinazowauma Watanzania kama hizi za Kenya kuingiza pua DRC, yaani povu la mwaka, ila ndio hivyo hamna jinsi, lazima bahari ya Hindi na Atlantic ziunganishwe kupitia Kenya. Mchina aliliona hili kitambo ndio maana belt yake amepanga iguse Kenya....
Hii ramani hapa imeweka bayana mpango wote

beltandroadmap.jpg
 
Usijali mzee..
Huyo Rais wa DRC anajua anachokifanya na pia anaelewa mchezo uliopo kwa sasa hivyo, atahitaji msaada wa major players lakini naye pia anatakiwa ajitutumue japo kiasi ili aongeze power yake katika ukanda huu..

Hata Magufuli alianzia Rwanda japo haina msaada mkubwa nasi kuanzia kwenye bandari hadi katika Regional business..
Keep your cool tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe! Yaani sijaona taarifa zinazowauma Watanzania kama hizi za Kenya kuingiza pua DRC, yaani povu la mwaka, ila ndio hivyo hamna jinsi, lazima bahari ya Hindi na Atlantic ziunganishwe kupitia Kenya. Mchina aliliona hili kitambo ndio maana belt yake amepanga iguse Kenya....
Hii ramani hapa imeweka bayana mpango wote

beltandroadmap.jpg

Naona vile wabongo wamerukwa na akili hapa... with their usual arguments , oooh sisi tulimsaidia Museveni, mara Kagame alikuwa anaishi TZ, sijui walikomboa nchi gani.. mara wao ni hifadhi ya waafrika... so much BS.. nations don't have friends, they have interests
 
Fursakibao mtainyanyua aje DRC ikiwa nyinyi hamjiwezi (LDC)? Tshisikedi alijua sababu ya kuja Kenya na sio Tanzagiza. Tunawaongoza East and Central Africa kiuchumi upende usipende... hizo hekaya zako utasikizwa pale uswahilini.
 
Hebu elezea ni jinsi gani A FAILED STATE iongoze kiuchumi East & Central Africa?

Labda nikukumbushe kidogo kuwa Tanzania is among 10 fastest growing economies Africa. (source world bank report 2018).

Kitu kingine kumbuka kwamba kwenye we are no. 10 and you are no 8 kwenye list ya THE BIGGEST ECONOMIES IN AFRICA; you are only 3 steps ahead (of which tutawapita hivi punde ) when it comes to shares of global GDP (percentage).
 
Tofauti ya uchumi baina yetu miaka ya awali ilikua ndogo sana nafiki chini ya $5b, ila hiyo tofauti imeongezeka na kuwa zaidi ya $30b huku tukiambiwa kila siku kwamba uchumi wenu unakua kwa kasi zaidi ya Kenya na kwamba mtatupita hivi karibuni, lakini pengo linazidi kuongezeka, tatizo lenu kubwa ni kwamba nyie wazembe, wavivu wa kutupwa maana nchi mnayo kubwa yenye rotuba, madini, vivutio bora vya utalii na kila kitu lakini maskini wa kutupwa hadi huruma.
 
Back
Top Bottom