DRC yaombwa kuiomba maongezi M23 kwa maandishi

View attachment 3269394

Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
Haha m23 washaanza kuchanganyikiwa watu mhhh kimya kimya wanakimbiza mwizi huyo anaingia mwenyewe kituo cha polisi watu wanaingia polisi jamani tupeni nduhu yetu huyu huwa ni mgonjwa wa akili kimya kimya watamaliza kusema yote. Hivi kweli m23 ndio wa kukumbishia mazingumzo ya Dar leo hii itakuwa maji yanazidi unga sio bure .
 
M23 pamoja na ushindi wao kwenye Battlefield wajishushe ili AMANI ipatikane Mashariki mwa Kongo DRC.
 
M23 pamoja na ushindi wao kwenye Battlefield wajishushe ili AMANI ipatikane Mashariki mwa Kongo DRC.
Kuna shida, kifupi wanakosa kuungwa na jamii ya nje...kwa sasa ina maana wamewashinda nchi kadhaaa kwa aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…