MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha m23 washaanza kuchanganyikiwa watu mhhh kimya kimya wanakimbiza mwizi huyo anaingia mwenyewe kituo cha polisi watu wanaingia polisi jamani tupeni nduhu yetu huyu huwa ni mgonjwa wa akili kimya kimya watamaliza kusema yote. Hivi kweli m23 ndio wa kukumbishia mazingumzo ya Dar leo hii itakuwa maji yanazidi unga sio bure .View attachment 3269394
Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
Kwani wao wajinga? Na unahisi ni wa kukamata kama kuku?Viongozi wa M23/AFC ,,,Wakienda. Angola sio kwamba ndio wanakamatwa ,, wawe makini ,,, huu sio mtego kweli
Kuna shida, kifupi wanakosa kuungwa na jamii ya nje...kwa sasa ina maana wamewashinda nchi kadhaaa kwa aibuM23 pamoja na ushindi wao kwenye Battlefield wajishushe ili AMANI ipatikane Mashariki mwa Kongo DRC.