Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598
Habarini wakuu,

Nimewakumbuka,

Kwanza nafaurahi kurudi JF baada ya muda,

Twende kwenye mada tajwa hapo juu, ni ukweli kwamba dread locks ni nywele nzuri hasa kwa wanaojua kuzitunza na zinawapendeza.

Lakini dread locks sio kila mtu zinampendeza zinachagua uzuri wa sura, yani kuna wadada wako kama vikongwe kisa tu dread locks, sura zimewakomaa.

Ni vizuri kujijua kuwa unapendeza na aina gani ya nywele, kwenda na wakati huku wanashindwa kuangalia sura zao, hiihupelekea kupoteza muonekano.

Mwisho dread locks ni nywele nzuri ila sio kila mtu zinampendeza

Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu

Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
 
UNAJUA UKISHAANZA KUZEEKA HATA NGOZI INAKUSALITI. VIJANA WANAMUDU MKUU. WEWE NI WA KUPUNGUZA NYWELEπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani miezi na miezi kwa nywele za kuunga! Vipi kuhusu kuosha kichwa?
Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu

Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
 
Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu

Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
Dread locks zinaongeza komwe jamani 🀣🀣
Wakitokaga kuzitreat komwe linawamba kinyamaaa.
Sasa ukute una nywele chache mbele, ndiyo huko kuzeeka mtoa mada anakosemea.
 
Kwa hiyo ndio maana Lauryn Hill ana watoto saba?
 
Dread locks zinaongeza komwe jamani [emoji1787][emoji1787]
Wakitokaga kuzitreat komwe linawamba kinyamaaa.
Sasa ukute una nywele chache mbele, ndiyo huko kuzeeka mtoa mada anakosemea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeonaee
 
Dread locks zinaongeza komwe jamani 🀣🀣
Wakitokaga kuzitreat komwe linawamba kinyamaaa.
Sasa ukute una nywele chache mbele, ndiyo huko kuzeeka mtoa mada anakosemea.
Hahahahaha hata ile siku ya kwanza unatoka kuzisuka...sura inang'aaa
 
Kuna mtu huwa namwambia hiki kitu kila siku[emoji1787][emoji1787]ngoja niscreenshot nimtumie[emoji1787]
 
Ni ukweli usiona Shaka nilikaa na dread miaka kumi na mbili nimenyoa sasa kwakweli najiona nimerudi ujana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 sijui nilizipendea nini πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…