Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, nywele nnazo nyingi kwa kweli.. Halafu tatizo ni kwamba wengi hawajui how to manage.. Ndio maana unakuta labda hapendezi.. Sio kila style inamfaa kila mtu.. Lazima ujiangalie unaendana na niniUna kasura kazuri itakuwa
Pia una nywele nyingi.
Mimi nina mifano hai ya watu dread zilizo watoa na zinazo wazeesha.
😅😅 nataka nisuke siku moja ila unanitisha😞Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu
Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
Hahaha... Eti super cute......Kuna mtu akiona huu uzi anaweza kuhisi hii ID ni ya kwangu, huwa namwambia hiki kitu kila mara.
You have to be super cute ili upendeze dread, otherwise huwa mnatuchekesha wajemeni!
Ni kweli dada.Hahaha... Eti super cute......
Kama unaweza kuvumilia maumivu suka...mie maumivu yakujitakia siwezi kuyavumilia😅😅 nataka nisuke siku moja ila unanitisha😞
Kumbe tupo wengiKatika mavitu siyapendi kichwani mwangu mojawapo ni hayo madude
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app