Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu lete picha za hao ambao huwa hawapendezi.Mrembo huyo lazima apendeze
Sa7 mchana kulitokea nini?Picha tafadhali wengine tupo sumbamwamagesha huku.
Hivi nyie mnazungumizia za kusuka au natural dreadlocks ??Kama unaweza kuvumilia maumivu suka...mie maumivu yakujitakia siwezi kuyavumilia
Ni nzuri kwa kweli
Hatuwaachi[emoji1787][emoji1787]
Tuwekee picha tuoneHabarini wakuu,
Nimewakumbuka,
Kwanza nafaurahi kurudi JF baada ya muda,
Twende kwenye mada tajwa hapo juu, ni ukweli kwamba dread locks ni nywele nzuri hasa kwa wanaojua kuzitunza na zinawapendeza.
Lakini dread locks sio kila mtu zinampendeza zinachagua uzuri wa sura, yani kuna wadada wako kama vikongwe kisa tu dread locks, sura zimewakomaa.
Ni vizuri kujijua kuwa unapendeza na aina gani ya nywele, kwenda na wakati huku wanashindwa kuangalia sura zao, hiihupelekea kupoteza muonekano.
Mwisho dread locks ni nywele nzuri ila sio kila mtu zinampendeza
Nilishamwambiaga mtu hii kitu akakataa. Linganisha mtu ananyoa nywele fupi uso wake na mwenye Rasta. Utaona tofautiHabarini wakuu,
Nimewakumbuka,
Kwanza nafaurahi kurudi JF baada ya muda,
Twende kwenye mada tajwa hapo juu, ni ukweli kwamba dread locks ni nywele nzuri hasa kwa wanaojua kuzitunza na zinawapendeza.
Lakini dread locks sio kila mtu zinampendeza zinachagua uzuri wa sura, yani kuna wadada wako kama vikongwe kisa tu dread locks, sura zimewakomaa.
Ni vizuri kujijua kuwa unapendeza na aina gani ya nywele, kwenda na wakati huku wanashindwa kuangalia sura zao, hiihupelekea kupoteza muonekano.
Mwisho dread locks ni nywele nzuri ila sio kila mtu zinampendeza
We karembo
Maumivu hayadumu MaeNi nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu
Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
Ukikutana na ambazo hazioshwi ni tafraniZinaoshwa, ila hapo itategemea na u smart wa mtu na pochi
Hahahah jaman, tatzo n misuko wanayochagua ndyo inayowaangusha. Dread n kama nguo kuna znazowapendeza wanene na pia znazowapendeza wembamba, ukijulia kichwa yako na sura na m'bano unaoendana na kichwa na sura katu dread hazmchukiz mtu.
S tu dread hata kunyoa s kila mtu akinyoa anapendeza, wengne wanachekesha na kufurahisha lkn wamegoma kupewa ushaur. Vivyo hivyo na kusuka, lkn ukishajua kichwa yako yapasa isukweje ama inyolewaje kamwe hautakuwa kichekesho kwa jamii inayokuzunguka.
Ahsnte muheshmiwa mbunge [emoji6][emoji4]