Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

Una kasura kazuri itakuwa
Pia una nywele nyingi.

Mimi nina mifano hai ya watu dread zilizo watoa na zinazo wazeesha.
Yes, nywele nnazo nyingi kwa kweli.. Halafu tatizo ni kwamba wengi hawajui how to manage.. Ndio maana unakuta labda hapendezi.. Sio kila style inamfaa kila mtu.. Lazima ujiangalie unaendana na nini
 
Mwanamke mwenye dread locks hua namhonga bila hata kuniomba hela, huo ni ugonjwa wangu!
 
Ni nzuri,huwa naona zinampendeza kila mtu

Tatizo lake ni zinaumaaaaaaaa,nilishasuka mara moja nikadumu nazo kama siku tano tu
Sijui wale wanaokaa nazo miezi na miezi wanawezaje kuvumilia yale maumivu
😅😅 nataka nisuke siku moja ila unanitisha😞
 
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom