Dreadlocks!

Na hili joto la daslam nyie huwa mnafanyaje, mie dreas zikipata jasho, zinawahi kufumuka kwa chini nikiwa dar tu lakini......
Wanawake wa Dar mnazitunzaje atleast zikae wiki? King'asti neggirl Jimena
 
Asante. Yani sijui nitabana lini?
Ha ha ha sahivi usiwaze kubana waza zitashikana lini make hapo napo huwa pagumu kidogo waweza kata tamaa, ila tu usiwe mvivu kuhudhuria saloon, kama nywele zako zinakua fasta zikishikana tu kubana ni easy
 
Huyu abasi yuko mwenge sehemu gani. Mara nyingi natengeneza kwa Fita.. Sinza kumekucha. But natamani kuwa na alternative nyingi hasa muda wangu ukiwa umebana.

Na huwa ana watu wengi sana?

Fita bado yupo pale Kumekucha kanisani? Nilianza pale kwake nikaacha baadae nikanyoa... Sasa naendaga kwa Karim lufungira
 
Ha ha ha sahivi usiwaze kubana waza zitashikana lini make hapo napo huwa pagumu kidogo waweza kata tamaa, ila tu usiwe mvivu kuhudhuria saloon, kama nywele zako zinakua fasta zikishikana tu kubana ni easy
Tena uvumilivu wa hali ya juu.. Mi nilianza nikanyoa nikaanza tena Sasa nna mwaka na miezi kama 2
 
Hongera sana, mie zikibana zitanipa uchizi ha ha ha make hapa tu napagawa lol

Hahaha hahhahahah.. Asante Sana.. Hongera na wewe... Zitabana tu hizi zinataka subira... Ningekuwa sikunyoa Sasa zingeuwa naw miaka 3
 
Uzuri dreads zinakua fasta, kulikoni kwanini ulinyoa?
Niliona eti zinachelewa, maana sipendi mawigi so nikawa najiona nipo rough maana nilikuwa too busy kwenda salon mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…