Dreadlocks!

Dreadlocks!

Kuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lol
Na ambavyo hujazoea kusalimia na wanaume sababu ya ubovu wako lazima ukenue
 
Dread locks Ni style nzuri haina usumbufu mafuta yake yanasaidia sana kuzuia mba,kwa watu waliobussy sana wapo wanaoweza kukutengeneza anakufuata ulipo na wako vizuri sana unatakiwa uwe na mafuta yako shampoo na spray na kile unachohitaji mkiwasiliana anaweza kukushauri na akakuelekeza vitu vya kununua mimi sijawahi kwenda saloon kutengenezwa kwa miaka minne mtengenezaji amekua ananifuata nilipo tangu nianze na nafurahia sana kuwa natural...Asante sana kwa waliotoa maoni ushauri na aliyeanzisha uzi huu nimejifunza mengi mnoo nawashukuru.nitaendelea kujifunza hapa.
 
uploadfromtaptalk1460297035173.jpeg
Asha zulu mandela
 
Back
Top Bottom