FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Na ambavyo hujazoea kusalimia na wanaume sababu ya ubovu wako lazima ukenueKuna siku nilikutana na wakaka watano ni marasta wakasimama kunipa hi, yani walinisalimia ile kirasta rasta ha ha ha wanaonekana watu wa Amani Ile mbaya nilisikia raha siku nzima lol