Dreadlocks!

Dreadlocks!

Huwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.
We nae sijui wa wapi kwani dreads ni mawig, mfyuuu unajikuta mjuaji kumbe hujui
 
Haha himo nlikua namaanisha Njia panda ,kwa maana kwamba nimevutiwa na wadada wengi marasta kwenye huu uzi nikaona niweke kambi hapa ili niendelee kuwajua
Hahahahahahaha kiswahili hiki[emoji134]
 
Kumbe mwanao havai wig, nkajua lile wig lisilofata direction ulikua unamsema yeye
Teh teh..Hana hizo huyo..Ila mpendwa asilimia kubwa ya wanawake niliowaona wana dreads wanakuwa wagumu flani hivi na rough..Why?..
 
Mhm! Ni kweli sijui kutofautisha! Nijuze mwl. Evelyn.
Dreads ni natural hair kabisa, tena nywele ambayo haina hata dawa, inasokotwa, kila wiki lazma kwenda saloon kuosha na kurepair.....
Ukiona mtu ana rasta chafu jua huyo ni mchafu asilia haiwezekani nywele za kuoshwa every week ziwe chafu
images (65).jpg
hizi ndio dread tunazoongelea sio rasta zile za kichina unazozijua wewe
 
Kwa Abasi?
Ha ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zangu
 
Ha ha ha lol wamjua abas yap, huwa natengenezea kwake nikiwa dar pia kuna dada mmoja yupo karibu na bar flani nikikumbuka jina ntakuambia ipo pale barabarani tu Mwenge anatengeneza vzr ndio amerepair hizo zangu
Namjua abasi pia pale kinondoni studio na kawe kwa josee
Ila kwasasa siko huko lakini mara nnapofika kabla sijaanza kuonana na raia huwa ni lazima nikafanye mambo sehemu moja kati ya hizo kisha ndo nianze kukutana na raia, basi safari hii nikija ntakwambia ili nikajaribu mikogo ya huyo dada unayemsema pia
 
Back
Top Bottom