Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
We nae sijui wa wapi kwani dreads ni mawig, mfyuuu unajikuta mjuaji kumbe hujuiHuwa nawaonea huruma sana mnapokuwa mmebeba hiyo mizigo kichwani; hususan hapa Dar na joto hili. Unamwona mwanamke anavyohangaika kujipiga kichwani na kujikuna miwasho. Vichwa havipati maji wala hewa safi! Sukeni nywele zenu za asili tu.