Dreadlocks!

Ninarudia tena kwa imani ya Dini ya kiislam Dreadlock kwa Wanaume ni Haramu kwa wanawake ni halali. Ninafikiri nimekujibu swali lako. Na ukimuona Muislam anayo Dreadlock huyu Sio Muislam atakuwa ametoka ndani ya imani ya Dini ya Kiislam ndio hivyo kazi kwako kusuka au kunyowa.
 

MziziMkavu. Nashukuru kwa maelezo yako. Ila sijakubaliana na wewe kuwa Natural dreadlocks hazina historia katika uislam (Mimi sio miislam, ila niliwahi kufanya conversation na Sheikh akanipa knowledge katika reasoning session).

Some debates zipo juu ya Natural Dreadlocks.... mfano

In a situation of Wudu there is no need to unlock the dreads and blocks of hair. All that is required is that you wipe over the hairs of the dread locks. But in the case of Ghusul (process of purifying the entire body via a bath) from Janabah and Menses, the hairs need to be done and washed so that all of the hairs are completely wet and the water reached your skull. The same goes for Ghusl of Janaza (funeral). If these conditions can be met, then having dreadlocks is not Haram (a sin)”

- Dr. Yusuf Ziya Kavakci, Sunni Islamic lawyer- Turkiye, Libya and Saudi Arabia

IN HISTORY:
A sect of Islam that was indigenous to the Baye Fall, Senegal, Western Africa, founded in 1887 by Shaykh Aamadu Bamba Mbakke are known for their multicolored gowns and dreadlocks. Many Sufis Rafaees, Sufi malangs and fakirs of Pakistan are known to sport different hairstyles. The culture of the Qalandari sect is a part of their lifestyle. The Qalandari sect is a Sufi group of people who do not cut their hair and neither comb it. They allow their hair to grow naturally in form of dreadlocks.

Waqalandari Dreadlocks kwao zina maana kubwa, na ni waislam wa kisufi.

Hivyo usiseme ni haram 100%!

Pia, Dreadlocks ni asili ya mwanadamu, kabla hatujagungua chana wala madawa ya nywele we had matted hair. That's the nature of human hair from their beginning. I'm not here to preach, or telln you have a dreadlocks. Kama Imani yako inakukataza na mwenzio imani yake inamwambia dreadlock hair ina maana fulani RESPECT imani ya mwenzio. We should respect imani za watu. Sio kila mwenye locks kavaa kimapambo wengine ni Imani.

Blessings. RESPECT.
 
waooooh! thanks sana, naomba kuuliza, ni vizuri ukisharepair kukaa kwenye hair drier au kuacha zikauke zenyewe taratibu?

Inategemea. Drier kwa wengine inawasaidia kufanya damu kuzunguka kwenye scalp vyema na kusaidia ukuaji wa nywele. Pia hukausha jel au wax unayokuwa umetumia. Inategemea na locktician wako wakati wa kuretwist.

Ila kwa wengine tunatumia njia za asili kutunza locks.
 


KK huyoo.....
 
Njia za asili kutunza dreads ndo zipi sasa?
 
Njia za asili kutunza dreads ndo zipi sasa?

Njia kama vile kumasage scalp mwenyewe, kutumia natural oils kama vile Mafuta ya Nazi, Olive, Aloevera, Sea Salt, kunywa maji kwa wingi, kufanya mazoezi, kuosha mara kwa mara na kuacha nywele zikue free bila kuzipeleka saluni. Just throw away your comb and let em grow.
 

Daaa aisee tunashukuru sana kwa darasa zuri, maana umetufumbua macho hesima kwako mkuu...!!
 
Daaa aisee tunashukuru sana kwa darasa zuri, maana umetufumbua macho hesima kwako mkuu...!!

Asante sana mkuu. Kwa maswali yoyote njoo kwenye uzi huu uliza, naamini utapata majibu. Karibu sana.
 
Asha Zulu Mandela, Mwanamke Anayeongoza Record kwa kuwa na nywele ndefu zaidi ya duniani. She is Always proud kwa kuwa Natural African Woman.















































With Her Husband.
 
Nice, Ila Kwa kuziangalia haraka nadhani hizo ni za saluni maana ni nyembamba.

Mkuu.. Sijaingia salon toka nianze kutwst..
Nilianzia kitaa na masela tu!
Am vgterian..
Nimeanza 1995,Kwazul-Natal..
Huwa nazupunguza kwa kukata Ncha kwani sipendi zivuke makalio.. na hiyo image ni 2011
Huwa naziosha ×2 kwa wk...
 
Mkuu.. Sijaingia salon toka nianze kutwst..
Nilianzia kitaa na masela tu!
Am vgterian..
Nimeanza 1995,Kwazul-Natal..
Huwa nazupunguza kwa kukata Ncha kwani sipendi zivuke makalio.. na hiyo image ni 2011
Huwa naziosha ×2 kwa wk...

Thats nice, unazitunza vizuri.

Lets share the story; ni nini kilikufanya ukaamua kuwa na dreadlocks? ni swali ninalopenda kuuliza wenye dreads. :smiling:
 







Hayley Young


Felicia Elin Ida





Isa Hansen




























































 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…