Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
- Thread starter
- #21
Mi napenda sana dread locks na nimeanza kusokota. Naona ni kama style ya nywele ya kawaida inayohitaji matunzo sana. Ia inahitaji uvumilivu ukiwa unaanza maana hadi zishike fresh inatumia mda. Na katika kipindi hiki cha mwanzo ndo nywele huonekana rough, lakini zikishashika ziko vizuri Tu.
Watu watofautishe tango ya nywele na uchafu. Kuna watu natural hair zao ni nyekundu na hawataki kuweka super black. Sass ukikutana na watu wa style hii unaweza ukadhani nywele zake ni chafu kumbe ni tango ya nywele zake.
Ila all in all, dreads ni sana ILA matunzo yake Hasa ya awali ni expensive kuliko nywele za kawaida.
Asante kwa kushare experience ya kweli. Ni kweli kabisa. Sio style ya kusema unaipata leo, inachukua muda na uvumilivu. Ila ikishafikia hatua ni ndefu, you feeeeel aweeeesome na uona raha ya kuwa mvumilivu. Huwezi kupata dreads leo hata kwa kwenda saloon. Patience is needed na usafi. Wapo wanaoishia mwanzoni na kushindwa kuvumilia kusubiri zikue.
Dreadlocks is not a hairstyle, is a lifestyle!