Dreadlocks!

Dreadlocks!

Mi napenda sana dread locks na nimeanza kusokota. Naona ni kama style ya nywele ya kawaida inayohitaji matunzo sana. Ia inahitaji uvumilivu ukiwa unaanza maana hadi zishike fresh inatumia mda. Na katika kipindi hiki cha mwanzo ndo nywele huonekana rough, lakini zikishashika ziko vizuri Tu.
Watu watofautishe tango ya nywele na uchafu. Kuna watu natural hair zao ni nyekundu na hawataki kuweka super black. Sass ukikutana na watu wa style hii unaweza ukadhani nywele zake ni chafu kumbe ni tango ya nywele zake.
Ila all in all, dreads ni sana ILA matunzo yake Hasa ya awali ni expensive kuliko nywele za kawaida.

Asante kwa kushare experience ya kweli. Ni kweli kabisa. Sio style ya kusema unaipata leo, inachukua muda na uvumilivu. Ila ikishafikia hatua ni ndefu, you feeeeel aweeeesome na uona raha ya kuwa mvumilivu. Huwezi kupata dreads leo hata kwa kwenda saloon. Patience is needed na usafi. Wapo wanaoishia mwanzoni na kushindwa kuvumilia kusubiri zikue.

Dreadlocks is not a hairstyle, is a lifestyle!
 
Mystical element of hair

Do you know why hair stands up when the body is exposed to an electric shock. Also in elementary school was in a lightening prone zone, we had to do lighting drills. The first thing you’re taught is whenever you feel the hair on your body or head stand up, to get flat on the ground. This is because only the hair shaft can sense the change in the atmospheres energy.



The hair is an electromagnetic sensor (receptor) that is inanimate (like a TV antennae). However it is able to heal itself just like the skin or any other organs. Scientist do not why your grows back when you cut it. There is no sensory nerve that tells the brain that the hair has been cut. For example, side burns grows to specific length and whenever the hair shaft is cut, it will grow back immediately to its predetermined length.

Therefore, if the hair shaft is truly an inanimate object then when it is broken it should stay broken. There is no visible or observable feedback mechanism to the brain that would trigger hair growth. It just mystically happens.

Saloon dreadlocks hair will not have the same energy as naturally grown dreadlocks. This is simply because every time someone touches your hair, the hair is electrically neutralized. There are also many hair products that alter the chemical structure and integrity of the hair. This is why Some Spiritual Priests do not expose their hair to the environment and constantly wear turbans.

In other words, the dreadlocks hair changes the energy composition of the whole body. To be more precise, long hair can be attributed to extra-sensory abilities or extra strength. Most cultures also embrace similar beliefs about having long dreadlocked hair. For example, the Vikings, Mau Mau, Ethiopian Fighters and the ancient Babylonians all believed that long locked hair is a display of supernatural abilities.

Niliipata hii katika moja ya my fav blog.
 
Ok. Ngoja nikueleweshe vyema.
Ulishawahi kushika umeme ukaona nywele zimesimama au kushtuka kitu mpaka ukahisi kuna energy imepita kwenye nywele au vinyweleo? That was not a joke kwenye Cartoons, ni physics. Nywele ni part ya mwanadamu inayohisi Umeme na mawimbi ya Universe, just like Antena. Is not a myth is a science. Hakuna neva za ukuaji zinazotoka kwenye ubongo kwenda kwenye nywele, hivyo ni kitu cha kushangaza jinsi nywele inavyokuwa kwa kujitegemea. Kumbuka mwanadamu peke yake duniani ndie kiumbe maarufu mwenye nywele zinazokuwa continuously katika maisha yake, not compared na primates wengine kama sokwe au nyani.


Katika surrounding environment kuna frequency kama mawimbi katika Universe yote. Kila kiungo pia kina frequency yake kutokana na energy inayotumika mfano Brain frequency ni 80-82 MHz. Hair inaweza kusense kama frequence imezidi ikabalance frequencies za ndani ya mwili na nje ya mwili.


Sema sasa, nywele inatakiwa iwe natural kuboost uwezo wake. Mtu mwenye nywele zenye dawa, nywele zake hazina uwezo tena maana ndani ya nywele ya asili kuna mpangilio wa particles ambazo zinatakiwa ziwe katika natural state fulani ili ifanye kazi, bila hivyo ni kama una kamba kichwani na sio nywele tena maana haina kazi tena.


Kwa nywele inayosukwa na kukazwa mara kwa mara wakati wa kusuka ina upungua uwezo ila kidogo sana. Sio kulinganisha na nywele zinazowekewa dawa muda wote.

Ndio maana watu wa kale walihisi nywele zina power na kukupa wisdom katika meditation. Just like samson!

teach them rasta....!!!
 
Ndio. Kwa kuwa ni Holly Hair style, lazima ziwe safi maana ni agano lako mwanadamu na Mungu. Hata biblia imesema Locks lazima ziwe safi na haruhusiwi mtu mwenye maovu akuguse nywele atakuweka unajisi. Asante.

kifungu tafadhar.
 
kifungu tafadhar.

Nimeshapost Kuhisu biblia na Locks. Angalia comments za mwanzo.

Pia Watu wenye locks wanaitwa Wanaziri (Nazarenes) au wanazareti. Ni watu waliokuwa wanaheshimiwa katika rank moja na mapriest, walikuwa ni wise peoples kwa waisraeli. Tamaduni za Uyahudi wanaziri huoga mara mbili kwa siku yaani jua lichomozapo na linapozama kuoga huko ni mpaka kuosha nywele (kuoga ilikuwa inaashiria usafi wa mwili ambao unaobeba roho, kwa maana roho safi hukaa pia katika mwili msafi). Hula matunda na vyakula vyanyikani na they are vegetarians.

Ningetumia sana biblia katika maelezo ila Imani yangu ipo strictly kwenye Tamaduni za kiyahudi, sisomi tu biblia bali hata Ethiopian Bible, Talmud na vitabu vingine vitakatifu vya kiyahudi. Hivyo baadhi ya maelezo zaidi ya jinsi ya kuishi kwa wayahudi juu ya Unaziri natumia vitabu vya Kiyahudi sana.


http://en.wikipedia.org/wiki/Nazirite
 
Damian Marley huyo mwana wa Bob Marley.

YES. Maarufu kama Jr. GONG. Gong inamaanisha mwamba. Ni jina la wanaharakati wa kutetea haki za watu waliokuwa wanaitwa Miamba. Kama alivyokuwa Lenard Howell (The Gong). Bob marley akaitwa Tuff Gong, now mtoto wake wa mwisho Jr Gong. Sijajua kwa mtoto wa Damian ataitwaje.
 
I love dreads Appolo umenibariki Sana na bibble quotes has a hiyo mamba one. Nilimsikia baba t Yule east Africa radio kewenye kipindi cha lovers rock akijusify holiness ya dreads akisoma hiyo namba one
 
I love dreads Appolo umenibariki Sana na bibble quotes has a hiyo mamba one. Nilimsikia baba t Yule east Africa radio kewenye kipindi cha lovers rock akijusify holiness ya dreads akisoma hiyo namba one

Asante sana. Nashukuru kwa kuwa mfuatiliaji mzuri. Locks zina heshima yake kubwa na zimeandikwa katika vitabu vingi vya Imani.

Kinachonisikitisha ni watu wanavyo wadharau na kiwachukulia watu wenye locks katika jamii. Mfano mimi katika masomo yangu (Na bado nasoma) with my Spiritual Hair, inachukua muda kumfundisha mtu hasa asiye na ufahamu wa imani za watu. Ila wapo wanaoelewa na wasioelewa pia. Ila Locks zinaashiria how you are not controlled with attachments and being Holly and respect full to the Nature and Creator.
 
Back
Top Bottom