Dream League Soccer Special Thread

Dream League Soccer Special Thread

Ila nilicheka zaid ile game ya mwisho baada ya kukuvunja goli la 4 hukusubir filimbi ya muamuzi ukala nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zilibaki sekunde tu nikaona upuuzi kuendelea.
 
[emoji16]Labda mtafute mwingine wa kunivua ufalme hapa ila sio wewe wala mnyonge wangu wa kudumu adriz
Haujawi kunifunga unapata wapi ujasiri wa kuniita mnyonge wako zaidi ya kunifunga mechi mechi moja kwa sapoti ya mtandao ?

Bora Mr Kiande Fene anaweza hata kubahatisha kunifunga lakini wewe ukiingia katika anga langu ushindi wako sare.
 
Hakuna cha kunitisha Master kama Master Jpili kaa mkao wa kufungwa na ukinifunga siku hiyo rasmi nitakuita Master.
[emoji23][emoji23]
Una mkakati gani wa kuepuka wa kutoingia katika ule mfumo wangu??[emoji848][emoji848]
 
Haujawi kunifunga unapata wapi ujasiri wa kuniita mnyonge wako zaidi ya kunifunga mechi mechi moja kwa sapoti ya mtandao ?

Bora Mr Kiande Fene anaweza hata kubahatisha kunifunga lakini wewe ukiingia katika anga langu ushindi wako sare.
Kuanzia leo tutakua tunapost mechi zetu zote tunazokutana ili kuweka records sawa.
 
Hii picha imepigwa leo Fene bado hautaki kutii amri mm ni Master ?
Screenshot_20230516_225156.jpg
 
Leo rekoni mpya ya goli nyingi kufikiwa ,najua tokea uje humu haijawahi kunifunga goli saba Fene mimi leo nimefanikiwa kukupiga wiki.
 
Leo rekoni mpya ya goli nyingi kufikiwa ,najua tokea uje humu haijawahi kunifunga goli saba Fene mimi leo nimefanikiwa kukupiga wiki.
Na bado unakuja kupiga kelele hapa wakat tumesuruhu[emoji23][emoji23]

Kweli kiande ndo kiande tu
 
Na bado unakuja kupiga kelele hapa wakat tumesuruhu[emoji23][emoji23]

Kweli kiande ndo kiande tu
Mimi siangalii GD nipo kwenye goli nyingi kuwahi kufikiwa kwani nayo sio rekodi 7 haijawahi kutokea.
 
With ur big efforts is untill today u have failed to beat me with this big victory [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2624982
Hii ya zama za nawe za kale soon italipwa halafu tuone utabqki na kipi cha kujivunia maana hiki ndio kichaka chako pekee ,kila siku nakupiga 6 -2 kama jana hivyo nakukosa padogo tu kukupiga 5.
 
Hii ya zama za nawe za kale soon italipwa halafu tuone utabqki na kipi cha kujivunia maana hiki ndio kichaka chako pekee ,kila siku nakupiga 6 -2 kama jana hivyo nakukosa padogo tu kukupiga 5.
Unanikosa padogo tu!!! wew kweli kiande

Na ujue mi nacheza kwa ku-relax tu

Siku nikiamua utaaga rasmi nyuz hii
 
The king of dls ndani ya JamiiForums nipo, atakae doz nipo napatikana siku zote[emoji1491][emoji1491]
 
Unanikosa padogo tu!!! wew kweli kiande

Na ujue mi nacheza kwa ku-relax tu

Siku nikiamua utaaga rasmi nyuz hii
Mimi ningekuwa wewe kufungwa mechi 14 mfululizo haujashinda ningeaga rasmi huu uzi ,sasa nasuburi uamue rasmi niage kama huo uwezo unao ..
 
The king of dls ndani ya JamiiForums nipo, atakae doz nipo napatikana siku zote[emoji1491][emoji1491]
Mbona jana nimekupiga tukisehabu kifootball mimi ni Winner sasa dozi gani ambazo unatoa kila siku ?
 
Asee.. tokea ni update game linashindwa kabisa kuplay ikifika kwenye lineup tu linakata, sijui tatizo litakuwa kitu..
 
Mbona jana nimekupiga tukisehabu kifootball mimi ni Winner sasa dozi gani ambazo unatoa kila siku ?
Kiande naomba uwapange na nduguzo kbs leo nitakuwepo hapa kuanzia mishale ya saa 4 nitakuwa nagawa dozi

King mwenyew wa dls ndani ya jf
 
Back
Top Bottom