Zilibaki sekunde tu nikaona upuuzi kuendelea.Ila nilicheka zaid ile game ya mwisho baada ya kukuvunja goli la 4 hukusubir filimbi ya muamuzi ukala nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mziki wangu hauvumiliki ni mzito kuliko kilo zako master🤣🤣Cheza na wanafunzi wangu kwanza kabla ya King nisije kupiga bomu monchwari.
Haujawi kunifunga unapata wapi ujasiri wa kuniita mnyonge wako zaidi ya kunifunga mechi mechi moja kwa sapoti ya mtandao ?[emoji16]Labda mtafute mwingine wa kunivua ufalme hapa ila sio wewe wala mnyonge wangu wa kudumu adriz
[emoji23][emoji23]Hakuna cha kunitisha Master kama Master Jpili kaa mkao wa kufungwa na ukinifunga siku hiyo rasmi nitakuita Master.
Kuanzia leo tutakua tunapost mechi zetu zote tunazokutana ili kuweka records sawa.Haujawi kunifunga unapata wapi ujasiri wa kuniita mnyonge wako zaidi ya kunifunga mechi mechi moja kwa sapoti ya mtandao ?
Bora Mr Kiande Fene anaweza hata kubahatisha kunifunga lakini wewe ukiingia katika anga langu ushindi wako sare.
Sawa .Kuanzia leo tutakua tunapost mechi zetu zote tunazokutana ili kuweka records sawa.
Hivi ni kwanini hapo kwenye coin za kununua uwanja zimekua 225 wakati Huku naambiwa mpaka coin 2500FUATA PICHA HIZI NAMNA YA KUNUNUA UWANJA. Usisahau tu kuwa na coin za kuwezesha kununua uwanjaView attachment 2099899View attachment 2099901View attachment 2099902View attachment 2099903View attachment 2099905
With ur big efforts is untill today u have failed to beat me with this big victory [emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha imepigwa leo Fene bado hautaki kutii amri mm ni Master ?View attachment 2624713
Mimi siangalii GD nipo kwenye goli nyingi kuwahi kufikiwa kwani nayo sio rekodi 7 haijawahi kutokea.Na bado unakuja kupiga kelele hapa wakat tumesuruhu[emoji23][emoji23]
Kweli kiande ndo kiande tu
Hii ya zama za nawe za kale soon italipwa halafu tuone utabqki na kipi cha kujivunia maana hiki ndio kichaka chako pekee ,kila siku nakupiga 6 -2 kama jana hivyo nakukosa padogo tu kukupiga 5.With ur big efforts is untill today u have failed to beat me with this big victory [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2624982
Unanikosa padogo tu!!! wew kweli kiandeHii ya zama za nawe za kale soon italipwa halafu tuone utabqki na kipi cha kujivunia maana hiki ndio kichaka chako pekee ,kila siku nakupiga 6 -2 kama jana hivyo nakukosa padogo tu kukupiga 5.
Mimi ningekuwa wewe kufungwa mechi 14 mfululizo haujashinda ningeaga rasmi huu uzi ,sasa nasuburi uamue rasmi niage kama huo uwezo unao ..Unanikosa padogo tu!!! wew kweli kiande
Na ujue mi nacheza kwa ku-relax tu
Siku nikiamua utaaga rasmi nyuz hii
Mbona jana nimekupiga tukisehabu kifootball mimi ni Winner sasa dozi gani ambazo unatoa kila siku ?The king of dls ndani ya JamiiForums nipo, atakae doz nipo napatikana siku zote[emoji1491][emoji1491]
Kiande naomba uwapange na nduguzo kbs leo nitakuwepo hapa kuanzia mishale ya saa 4 nitakuwa nagawa doziMbona jana nimekupiga tukisehabu kifootball mimi ni Winner sasa dozi gani ambazo unatoa kila siku ?