Kuweka rekodi sawa ,siku ya mwisho mbabe nilikuwa mimi kwa hiyo nitaendeleza pale nilipoishia .Kiande naomba uwapange na nduguzo kbs leo nitakuwepo hapa kuanzia mishale ya saa 4 nitakuwa nagawa dozi
King mwenyew wa dls ndani ya jf
Mbona hukurudi tenaKuweka rekodi sawa ,siku ya mwisho mbabe nilikuwa mimi kwa hiyo nitaendeleza pale nilipoishia .
Unaona unavyoropoka, ulikuwa mbabe kwa lipi?Kuweka rekodi sawa ,siku ya mwisho mbabe nilikuwa mimi kwa hiyo nitaendeleza pale nilipoishia .
Singasinga nakumaind ila unanikwepa ila one dayMbona hukurudi tena
Nakuomba uwepo mishale kuanzia saa 4, mim ndie master humuNipeni Code Wadau niwaonyeshe uwezo
Njoo ata saiviSingasinga nakumaind ila unanikwepa ila one day
Dah! Ssahiv cjatulia ila mishale nitakuja kwa group kuleNjoo ata saivi
Poa nistue nikupige vibaya mno kama mwenzio penguinDah! Ssahiv cjatulia ila mishale nitakuja kwa group kule
Hizi dharau kwa Master wako chunga sana , siku ya a mwisho simu ilizingua ikawa lila.mechi haiishi unakataa kabla ya siku hiyo ilikuwa droo kila mtu kashinda gemu 3 ila mimi ushindi kutokana na magoli coz nilikupa kichachapo kikali cha goli nyingi siku hiyo .Unaona unavyoropoka, ulikuwa mbabe kwa lipi?
Wakat we ndo uliekula mbio nikiwa naongoza
Wewe nakufunga huku nimefunga kitambaa machoni bila tabu yeyote, nitakustua nikuaibishe niweke screenshots humu.Poa nistue nikupige vibaya mno kama mwenzio penguin
Labda kama unataka watu waone L nyekundu zako zoteWewe nakufunga huku nimefunga kitambaa machoni bila tabu yeyote, nitakustua nikuaibishe niweke screenshots humu.
Kiande umefanyiwa ukatili wa kutosha sana na vijana wa Mafia Soccer PowerWewe nakufunga huku nimefunga kitambaa machoni bila tabu yeyote, nitakustua nikuaibishe niweke screenshots humu.
Lapuga mfalme wa soka ndo alifanya kama kakukodi leo[emoji23][emoji23]Wewe nakufunga huku nimefunga kitambaa machoni bila tabu yeyote, nitakustua nikuaibishe niweke screenshots humu.
Kuanzia leo ukitak mech sema nataka nijitetee Master[emoji1545][emoji1545]Hizi dharau kwa Master wako chunga sana , siku ya a mwisho simu ilizingua ikawa lila.mechi haiishi unakataa kabla ya siku hiyo ilikuwa droo kila mtu kashinda gemu 3 ila mimi ushindi kutokana na magoli coz nilikupa kichachapo kikali cha goli nyingi siku hiyo .
Kijana ushindi wa siku moja umekulevya unaanza kuvuka mipaka ,sasa nakuja kusambaratisha kabisa kikundi chako cha wahuni .Kiande umefanyiwa ukatili wa kutosha sana na vijana wa Mafia Soccer Power
Huyu ni mtot Vini Jr ambae akitumika kama supersup tazama goli la kideo hilo[emoji23][emoji23]View attachment 2636064