Dream League Soccer Special Thread

Wewe mzee acha maneno mengi nifunze jinsi ya kuhack bana
 
Wewe mzee acha maneno mengi nifunze jinsi ya kuhack bana
kuhack najua kwenye game lile la zamani hili la sasa sijui.... lakini pia kuhack game haitakufanya uwe champion, champion wa kweli hupatikana kwa kuwapiga machampion waliopo sio kuwaua
 
kuhack najua kwenye game lile la zamani hili la sasa sijui.... lakini pia kuhack game haitakufanya uwe champion, champion wa kweli hupatikana kwa kuwapiga machampion waliopo sio kuwaua
Aaah. Unazingua asee hujui ku hack kweli haya maniaje?
 
Aaah. Unazingua asee hujui ku hack kweli haya maniaje?
labda wewe uniambie kama unajua... mimi kwa sasa sioni hata faida ya kuhack maana niko levo ya juu na nashinda navotaka coz nilijifunza kucheza kwa kupress nina wachezaji naowapenda sa nahack ili iweje?
Unaweza hack ukawa na machezaji yenye rate kubwa ila kama hujui kucheza kichapo kiko palepale [emoji23] JIFUNZE KUCHEZA MKUU...
 
Wewe mzee acha maneno mengi nifunze jinsi ya kuhack bana
Hili la online hakuna kuhack.. ni kupambana tuu...

Nimebadili simu juzi nikasahau kuconnect data nikapoteza kikosi changu...

Nimeanza upya kutengeneza tena kikosi
 
Hili la online hakuna kuhack.. ni kupambana tuu...

Nimebadili simu juzi nikasahau kuconnect data nikapoteza kikosi changu...

Nimeanza upya kutengeneza tena kikosi
Kikosi chako kilikuaje kwani???

Uliouwa na mastaa wangapi.?
 
Unajifunzaje maana mimi sijawshi kuhudhuria training yoyote ile. 😶
 
Penseli 4 injinia soma hiyo
 
Daaaah imeniuma ila sio mimi. Pole mkuu

Sasa uliwezaje kufikia 90+ bila ku hack au ulikuwa unalicheza kwa muda mrefu sana?? 😶
Amna ukianza pambana kufikisha uwanja uwe wa watu 90K basi. Baada ya hapo gemu moja unaweza kupata 250 baada ya kuview ads.. hasa ikiwa game ya nyumbani
 
Amna ukianza pambana kufikisha uwanja uwe wa watu 90K basi. Baada ya hapo gemu moja unaweza kupata 250 baada ya kuview ads.. hasa ikiwa game ya nyumbani
Sasa stadium kuwa na 90k si inamaana utakuwa elite division kwenye timu ngumu.

Kama kikosi ni legelege si utaendelea kubondwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…